Makapuku Forum

hawa waandishi wa hizi habar wameongwa na makonda waandike taarifa zake mbona walikaa wakajadili kwamba hawata andika habar kuhusu bashite "kweli nchi imeingia matope in chibu voice"
Ww ndo hujaelewa
Wanaandika habari zake ambazo hazim"favour" tu
Zile nzuri au kazi zake haziandikwi
Mfano "Bashite azindua kisima Tandale"
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…