shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asante mama mchungaji kwa kushiriki kuyasomaAsante sana kwa magazeti mkuu Shululu kazi yako ni njema ubarikiwe sana![]()
Asante mama mchungaji kwa kushiriki kuyasomaAsante sana kwa magazeti mkuu Shululu kazi yako ni njema ubarikiwe sana![]()
Morning ndugu yangu za mkoani,wazima huko vipi mvua mbarikiweMorning mama mchungaji
Pamoja sana Obe, za kupotea
Za mkoani nzuri, mvua ipoMorning ndugu yangu za mkoani,wazima huko vipi mvua mbarikiwe
Tuko poa habari ya ulipoGoodmorning family.....wishing you a blessed day.....![]()
Morning ndugu yangu za mkoani,wazima huko vipi mvua mbarikiwe
Shukran kwa mag@zetiMorning makapuku, magazeti ya leo yatawaijia hivi punde

Morning afandewakuu morning
Numbisa upo nimekumicAnaendeleaje?
Mkuu umeamkeje
Mungu amponyeKwa sasa anaendelea vizuri sio kama ilivyokuwa usiku, baadae atapelekwa hospital
Muda ule anaanzisha ule Uzi alikuwa poaRay mgonjwa wa ajabu sana,kuvumilia maumivu na kuja kuchat tena,kaanzisha na thread ya kuwapondea madj wa arusha. Yale maumivu sijui alikua anayapoozaje.
AmenSifa,Utukufu,Shukurani na heshima kwake BABA aliye juu mbinguni..tunaendelea kumuombea![]()
AmenAm fine kabisaa. Nashukuru jukwaa lina mama mchungaji,maneno yake na shuhuda zake zinanisaidia sana tu. Mbarikiwe wote.
Anahitaji maombi numbisaAnaumwa kitambo basi tu,JF nayo ni ugonjwa kuiacha ngumu
Ujenzi mwema afandewakuu tutaonana baadae ngoja tukajenge taifa mkuu shululu kazi njema![]()
![]()
![]()
![]()
Hapa kwa kigogo nasubiri watasema nini maana imeonekana vyeti havihusiki na utendaji wake wa kazi