ha ahhahaha, sasa ulitaka akae asikize maombi yetu, si angechanganyikiwa bure au kuumwa kichwa. Fikira wengine tunaomba tukiwa tingasi, wengine wanawaza kodi ya pango, wengine mshahara haujatoka, nway bora kajiagia mapema Mondray
Ray mgonjwa wa ajabu sana,kuvumilia maumivu na kuja kuchat tena,kaanzisha na thread ya kuwapondea madj wa arusha. Yale maumivu sijui alikua anayapoozaje.