hahahhh yaan we mndali maswali yakoKwani unaenda wapi
safi tuMe mzima za tangu jana
Ila kweli wewe una uzalendo
Tumbo la ulcers linavyokata bado upo online jf..![]()





Khaaaa kumbe huu recorded jamaan mbona azam wanatufanyia hiviReal Madrid na atletico Madrid
3-0
acha akutoea machungu ya kwa babuCR7 acha awe CR7 tu
Mmekuwa wakali kwelibora umemwambia magonjwa gan yupo online busy na kuchat
Haaaaahaaaa pole sanaKhaaaa kumbe huu recorded jamaan mbona azam wanatufanyia hivi
Clean sheetsacha akutoea machungu ya kwa babu
acha nizime tv azam sijawaelewa kabisa mfyuuuu zaoHaaaaahaaaa pole sana
hahahhh anaweza kuzidiwa yupo busy na jfMmekuwa wakali kweli
Ngumu kumesahahahhh anaweza kuzidiwa yupo busy na jf
WAFILIPI 4
MUNGU AWABARIKI MLALE SALAMA

Amen....!! UbarikiweWAFILIPI 4
4 Furahini katika BWANA tena nasema furahini.
5 Upole wenu na ujulikane na watu wote.
6 Msijisumbue kwa neno lolote, bali katika kila neno kwa KUSALI na KUOMBA na KUSHUKURU,HAJA ZENU na zijulikane na MUNGU
7 Na AMANI ya MUNGU ,ipitayo AKILI ZOTE ,ITAWAHIFADHI MIOYO YENU NA NIA ZENU katika KRISTO YESU
MUNGU AWABARIKI MLALE SALAMA
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Ni harusi hiyokikao cha harusi au
Eplmara ya mwisho kuchukua ubingwa upi haswa?
LahaulaNilikua napuliza 40-43
Yes kwa sasa anasomaNajiuliza maswali mengi je anasoma
Haleluiya. Praise the LordNilimuomba Mungu anipe nguvu nae akanipa magumu nijifunze kuwa imara.
Nilimuomba Mungu anipe Hekima na Busara nae akanipa matatizo ya kutatua.
Nilimuomba Mungu Nuru na mwangaza nae akanipitisha katika kiza kinene.
Nilimuomba Mungu anipe ujasiri nae akanipitisha sehemu za hatari niweze kujiokoa.
Nilimuomba Mungu anijaalie moyo wa subira nae ananipitisha katika nyakati ambazo suluhu pekee ni kusubiri.Nilimuomba Mungu anijaalie upendo nae akanipa watu wenye matatizo niwasaidie.
Nilimuomba Mungu furaha nae akanipa nyakati za kulia ili furaha ikija niithamini.
Nilimuomba Mungu anipendelee nae akanipa nafasi mbali mbali.
Nilimuomba Mungu kila kitu ambacho kingefanya nifurahie maisha badala yake akanipa maisha ili nifurahie kila kitu.
Hajanipatia vyote nilivyo taka bali amenipatia kila ninachohitaji.
Kila nyakati katika maisha yetu zina maana japo kuna wakati zinaumiza lakini Mungu anajua kwa nini anakupitisha hapo...huwezi kuwa bora kama hujapitia nyakati mbali mbali kwenye maisha...kadri unavyovuka ndivyo unazidi kuwa bora!
Oh Praise to Lord.
