Makapuku Forum

Nipo na hali mbaya sana nasikia kama tumbo limetoboka au utumbo kukatika..
Pole sana Mondray,pole kwa kuumwa kumbuka Yesu aliwambwa pale msalabani kwa ajili yetu, Isaya 53:3,5kwakupigwa kwake sisi tumepona [emoji120] chukua hatua ya imani muombe Mungu akutie nguvu,chukua maji ya uvuguvugu kunywa taratibu kama first aid na uanze kwenda hospitali sasa,wao wana dawa za kupunguza maumivu haraka sana,kama maumivu ni makali watakuchoma sindano ya maumivu ya tumbo na upumzike wakati wanafanya vipimo vingine...Mungu akutie nguvu..kama una buscopan tablets na hospitali ni mbali kunywa ili usiteseke na maumivu.Nakuombea UPONYAJI KATIKA JINA LA YESU[emoji120]
 
Sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…