Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Nabata ushunguvale ni mwehu mfyuuu

Nabata ushunguvale ni mwehu mfyuuu

Safari ikikosa changamoto Hiyo siyo safari ukiahilisha safari kwaajili ya misukosuko inamaana hutakiwi kuwepo katika safariAcha ibomoke itajengeka mbele ya safari
Umionaeeh!!!Hahaha mke nae feki![]()
![]()

Roho inakuuma MaskiniNani alikua anampiga picha za furaha hivi badala ya kumuonya

Naam, we kusikie tuTanga kunani
MutoniLa baharini au

HakikaMungu hujibu Atakavyo. Tena hachelewi wala hawahi. Shida ni sisi binadamu na viherehere vyetu tu!
Woi bora nishuke hii safari ishanchosha mieSafari ikikosa changamoto Hiyo siyo safari ukiahilisha safari kwaajili ya misukosuko inamaana hutakiwi kuwepo katika safari
Hapo cha mhimu jikaze ila Fanya uchunguzi utapata majibu sahihi yatakayo kufanya ujue nini chakufanya
Marahaba.....on behalfRamli za wazungu. Angekuwa amesema haya Sheikh Yahaya (Jr) basi ungesikia kejeli na dharau kibao. Shikamoo mzungu!
Marahaba.....on behalfRamli za wazungu. Angekuwa amesema haya Sheikh Yahaya (Jr) basi ungesikia kejeli na dharau kibao. Shikamoo mzungu!
HallelujahNilimuomba Mungu anijaalie moyo wa subira nae ananipitisha katika nyakati ambazo suluhu pekee ni kusubiri.Nilimuomba Mungu anijaalie upendo nae akanipa watu wenye matatizo niwasaidie
hiki kipande kimenuhusu sana
Nitaenda huko maana kuna watu wapo huko wanahitaji nifikeNaam, we kusikie tu
Atasema tumbona hatuambiiii twende kwenye vikao
Sawa nikuambie kituWoi bora nishuke hii safari ishanchosha mie
Cc shunieTanga kunani
Basi historia yao ya kuchhuna ngozi na ujambazi wa kutekana barabarani unakula nondo za kweli, ilikuwa hatari sanaMbona wana roho nzuri sana mkuu
Mkuu unamaanisha shunie anamajibuCc shunie
Huko ni kwaoMkuu unamaanisha shunie anamajibu