Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ni neno la kispaniola lenye maana "see you later"Daaah afu mpaka leo nalitaftia maana yake sijaipata ....
Ni neno la kispaniola lenye maana "see you later"Daaah afu mpaka leo nalitaftia maana yake sijaipata ....
Ahaaaaaaaah![]()
![]()
![]()
nafikir kipindi kile walikuwa wanamove tu mafaile asante
Rally tesler
![]()
![]()
![]()
ndo mana sadamu husein aliona ni upuuz kuangalia movie la kichekesho wakati yeye achekagi

Kaka niko radhi kuachika ila sio kunywa pombeDada ukibadilishwa nitanawa
KakaNasubiria sakayo anitafute jmn
Niya mwaka huu?Sasa hivi ipo Teminator Genesis
Njoo mbaudaNasubiri unijulishe uko wapi nikuletee
Kaka niko radhi kuachika ila sio kunywa pombe
pombe ni chai mbadala hii
No 2015 kama sijasahau.Niya mwaka huu?
Huyu jamaa sijui kwanini alizaliwa bin adamu DNa yake ni yarobot kabisaa emagine katoa terminater 1 akaona hawamwelewi katoa 2 wadau bado hawamsomi katoa 3 na genesisNo 2015 kama sijasahau.
BabyYaani humu ni kama isidingo..
Text 1k kwa siku ni nyingi mno..!
Ukitoka week tuu ukirudi life lishabadilika humu
Nambie sweetie love !Baby
Na Johnny Depp unamchukuliaje labda kwa muvi zake.Huyu jamaa sijui kwanini alizaliwa bin adamu DNa yake ni yarobot kabisaa emagine katoa terminater 1 akaona hawamwelewi katoa 2 wadau bado hawamsomi katoa 3 na genesis
[HASHTAG]#anold[/HASHTAG] swaznigger
Nakumiss jamaniNambie sweetie love !