Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Mie cjambo cjui wwClkey mzima
Mie cjambo cjui wwClkey mzima
Hebu nambie vizuri bana.Sijasema anachepuka wewe ndo umeongezea maneno ya kuchepuka
Kweli mkuuHii inaitwa tit for tat
Ujue nalalamika kwa kuwa hili anafanyiwa mwanaume mwenzangu na ujue ni dalili za unyanyasaji wa kijinsiabas uwe na amani wa kulalamika ni lee
sawaUjue nalalamika kwa kuwa hili anafanyiwa mwanaume mwenzangu na ujue ni dalili za unyanyasaji wa kijinsia
Usijali mkuu hata mi naongezea kama kunogesha gengehakuna mziki wowote this is chit chat relax
Naomba umfunguliesawa
nitafkilia swala lakoNaomba umfungulie
Mbona unataka kunipa ajira isiyo yangu?Hebu nambie vizuri bana.
Asante dada nitashukurunitafkilia swala lako
NimekupezaNini tena
Mm mzma nimemkumbuka tu mbwembwe zakeKafanyaje tena bashite
Mzima mkuu
Halafu alisema eti ni bora timu yenu ibadili ligiMwambie nami namsalimia
Sawa mkuuMm mzma nimemkumbuka tu mbwembwe zake
karibu tena mndaliAsante dada nitashukuru
Asantekaribu tena mndali
Mi niko poa kama mawe ya iringaMzima kabisa kamanda
Uhali gani