Kweli mkuu tukaze tutatoka tuiyo ndo point uchumi wa ndani iliukue unaitaji nguvu na tija kutoka ndani ya nchi yenyewe hawezi akaja mchina eti ajenge uchumi wa tz ..
Tuko poa habr ya pande yakogood morning every body here
Umeamkeje shululuMorning shedede
Kwenye hili la ajira inaweza ikawa ahadi hewa maana mwaka jana waliahidi 70000
Karibu tena mrDah nilipamiss sana humu![]()
![]()
![]()
Sisi maneno ni mengi kuliko vitendoKwenye hili la ajira inaweza ikawa ahadi hewa maana mwaka jana waliahidi 70000
Morning nyoka mzeemorning kiongozi na shukran kwa magazetiiii
kwema kiongoziii?Morning nyoka mzee
Kweli mkuu tusubiri muda utaongeaSisi maneno ni mengi kuliko vitendo
morninggood morning every body here
Asante kwa magazeti MkuuView attachment 503580Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho
hahahha hali ni mbaya kwa watumishi aisee hadi umri mi nafikir hapo angefatilia utendaji tu wa kazi maswala ya umri ni private issues