Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,928
Sanaa shemela ndio mana nimerudisha kila unapoenda shunie tunamtaka wa mapaja hiyo haututendei haki

Sanaa shemela ndio mana nimerudisha kila unapoenda shunie tunamtaka wa mapaja hiyo haututendei haki

Tutaungana mimi, mama mchungaji, Baba mchungaji na baba paroko tutafanya maombi kwa ajili ya kibarua chako nyasi ziungue zisiote tenahapana siwez enda
![]()
![]()
![]()
Mukongo kwenye ubora
A.k.a baba mchungaji

Shululu huyohurumieni mbavu zangu
Sihusiki ni shededeShululu huyo
Eti huko China nako baridi lipo kama la Njombe?
Na kwako piaMuwe na usiku mwema hakika leo nime-enjoy
Comedian kapotelea wapi?Sihusiki ni shedede
situmii zaidi ya heinkenviroba shemlake hutumii![]()
![]()
![]()
hahahha najua shedede unavyoipenda kazi yako![]()
![]()
shemlake nacheka lakni moyo unasonona sana
![]()
tumuombee shemela lee akijaNi shida
hahahha ungeongea tuHahaha kwanzia mwanzo niliiona ila nikavunga tu sijataka kuwa faiza foxy
teh teh na mapaja meupeWatu wagonjwa sana aisee
mlinzi ni ww tu shedede yataishakwa haya nayoyaona mbele yangu kuna haja dr.lee apate mlinzi madhubuti kabisa tena na mtutu mkubwa tu...![]()
nimejibu tu shedede uwe na amaninooooo noooo haikutakiwa kabisa kujibu salamu yake huyo![]()
![]()
![]()
![]()
hahahha sabuni inakuhusuSio kwa baridi hii
hilo ndio kubwa na la maana shededenow ndo nitakuwa nashinda humu
mmhHahahaha anipe mimi hiyo kazi aisee