Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
Nitaupitia huoKuna uzi wa kambona, kauweka Nyani ngabu
Nitaupitia huoKuna uzi wa kambona, kauweka Nyani ngabu
Huyu kala Burger[emoji23]shemela we hujala bulger
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Af dogo jiangalie[emoji123]
Kwapani??? kwikwi kwikwi kwiii[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Daaah kuna mmoja alishawahi kuniuma kwenye kwapa aisee si mchezo
[emoji3] [emoji3]mama mchungaji bwana yesu asifiwe sana
ni furaha iliyoje leo MUNGU katupa kibali tunaishi vzr sana
once naomba uniombee kibarua changu kimeota nyasi emagine eti nimepewa kazi ya kuchunga mbuzi
kweli mimi nichunge mbuzi[emoji22][emoji22]
Ndio wewe bhanaaaa hatuamini mpaka utuwekee picha bila kichwa[emoji23]sio mm wala sifananiii nae niliipendaga tu hiyo avatar nilipoikuta
Wanatamia?[emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wanataga
[emoji1]hapana siwez enda[emoji3] [emoji3]
Tena uchungie kule Ikwiriri
Sifi - Wifi [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]zimefika msalimie na ww sifi
[emoji87] [emoji85] lazima ni mtu ame-hack account yakohahahah msikute mnaipigia puchu si kwa makelele ninayopigiwa nikiitoa
[emoji134] me too[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
mkuu mukongo[emoji134] me too
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kama nakuona vile ulivyokuwa [emoji3] [emoji3]
hahahha achana nae shedede yataisha ni mapito tu hayomkuu nimetafuta mchawi sana nimeshakupata niwewe
hahahha hamna bana shededeeeeh shem nasikia iyo nafasi yangu kapewa shululu
hiv dr.lee ana-deserve kabisa kabisa kumuamini mtu kama shululu
thinking out loud[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hahahh we si mzee wa chaputaNacheka sana aisee
najua shedede ngoja lee arudi yataishana ndomana nakulinda vzr sana na kukutetea pale unapoonewa japo ni nje ya kazi yangu[emoji20]
hahahha ndio hivyo shemela nimewarudishia wa mapajaHaaaaahaaaa, nimecheka kwa nguvu aisee
hapana mushenga sijawahi bapa wala sitawahi siwezi pombe kali[emoji134] na bapa je???[emoji22]