Ipo mitaa ya lumumbajamani nitapata wapi dizaini hii![]()
Wame-adopt weatherWatoto wa huko ni noma aisee
Kashata itakuwepoChai,korosho, karanga na ufuta
Pamoja mkuuJambo la msingi sana
AiseeRaha ya hizo sehemu hamna homa za ajabu ajabu
Hawa chura baada ya kuja huku mjini ndo nimewaonahahahhah bullar ananifurahisha sana ata ukimkuta mmu kwenye mada anazochangia ni zinazohusu chura tu
SawaLazima apige kazi
Point mkuuMkuu tujitahidi kutengeneza uchumi imara ili tuwe wawekezaji wa ndani tutakao toa ajira kwa watanzania wenzetu na hii itatujengea jina lisilo futika katika maisha ya watu wengi
Sawa unaenda wapi au wazee wa patrol wamepitaBaadaye kidogo makapuku
Werasson atakuja anacheka tu hapo kesholiver kabahatisha leo
Pamoja mkuuPoint mkuu
Na hicho ndicho kinachotakiwa
hahahhah bullar ananifurahisha sana ata ukimkuta mmu kwenye mada anazochangia ni zinazohusu chura tu
Miundo mbinu ndio tatizoPole mkuu ila ndo ubaya wa mvua za hapo dar
Okay kapukuBaadaye kidogo makapuku