Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
nitashukuru [emoji22][emoji22][emoji22]Khaaa msukuma me ujue namkubali sana shedede nitaongea vizuri na lee ampe last chance
nitashukuru [emoji22][emoji22][emoji22]Khaaa msukuma me ujue namkubali sana shedede nitaongea vizuri na lee ampe last chance
Karibu tena, asubuhi tulikukalibisha ila ukapotea, karibu tena comedian, hapa ni kuchat tu,toa like upate likemakapuku forum mi niko mgeni sana na jf (jamii forum) katika pita pita zangu nimeona niingie humu b'coz naona mnachat mambo mengi sana
"makidonyo oduenga" ndio majina yangu halisi natokea kenya
asubuhi nimetuma comment yangu paali hapa ila naona hakuna aliye-participate na post yangu
nataka niwe member wa humu makapuku b'coz mimi pia nisehemu ya makapukuz coz sina dollar
karibu sana humu toa like upate like mengine wataongezeamakapuku forum mi niko mgeni sana na jf (jamii forum) katika pita pita zangu nimeona niingie humu b'coz naona mnachat mambo mengi sana
"makidonyo oduenga" ndio majina yangu halisi natokea kenya
asubuhi nimetuma comment yangu paali hapa ila naona hakuna aliye-participate na post yangu
nataka niwe member wa humu makapuku b'coz mimi pia nisehemu ya makapukuz coz sina dollar
Itakuwa ni size ya bantu girls from SAHips za mwanamke mkuu zipo kila size[emoji85]
Asante sana kwa elimu hii,Mungu akubariki[emoji120]
mkuu nimetafuta mchawi sana nimeshakupata niweweAcha na wengine wajaribu. Ulikuwa umeanza kuringa kisa eti unamlinda Shunie - malkia wa JF!. Ulijichanganya tangu mwanzo ulipoanza kwa kumtongoza kwanza. Hata mimi ningekutimua tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna!
yataisha bana ngoja dr Lee arudi tutaongea naehapana shimba eti kisa shunie alitaka kutekwa mi sikuwepo nikaonekana mzembe kazini[emoji22]
eeeh shem nasikia iyo nafasi yangu kapewa shululuunaweza mwenyewe tutaongea nae akirudi si unajua zilikua hasira ndio mana mm nilikua mpole
InawezekanaItakuwa ni size ya bantu girls from SA
Nacheka sana aiseehahahah msikute mnaipigia puchu si kwa makelele ninayopigiwa nikiitoa
Ni geniuswow youngest man do biggest thing like it[emoji106]
na ndomana nakulinda vzr sana na kukutetea pale unapoonewa japo ni nje ya kazi yangu[emoji20]mm sijafurahia ujue nakukubali sana upo makini sana na kazi yako tatizo dr Lee alivyokua hayupo ulikua hauonekani
Karibu sana comedian katika familia hiimakapuku forum mi niko mgeni sana na jf (jamii forum) katika pita pita zangu nimeona niingie humu b'coz naona mnachat mambo mengi sana
"makidonyo oduenga" ndio majina yangu halisi natokea kenya
asubuhi nimetuma comment yangu paali hapa ila naona hakuna aliye-participate na post yangu
nataka niwe member wa humu makapuku b'coz mimi pia nisehemu ya makapukuz coz sina dollar
Haaaaahaaaa, nimecheka kwa nguvu aiseeSanaa shemela ndio mana nimerudisha kila unapoenda shunie tunamtaka wa mapaja hiyo haututendei haki
[emoji134] na bapa je???[emoji22]Acha tu shemela uku na ndizi za kuchoma na kabeer pembeni
Ayayayayaaaaamkuu nimetafuta mchawi sana nimeshakupata niwewe
[emoji4]Jamaan
Kuna uzi wa kambona, kauweka Nyani ngabuKapotea kijana
Af dogo jiangalie[emoji123]Usije kukimbia tu ukasingizia utaota kama mukongo
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]eeeh shem nasikia iyo nafasi yangu kapewa shululu
hiv dr.lee ana-deserve kabisa kabisa kumuamini mtu kama shululu
thinking out loud[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
mama mchungaji bwana yesu asifiwe sanaPole sana ndugu