Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Braza samahani sanaHhahaha.
Aisee bro nitake radhi.
Braza samahani sanaHhahaha.
Aisee bro nitake radhi.
Usiogope bro.Braza samahani sana
NimeREPORT spam .....si unajua ni mkongwe wa 2010 kwahiyo tutapotezewa ndo maana nimemjibu
Kumbuka Ngedere Ungabu alitutusi BITCHES na hakula ban wala nini
................
Pitia post za nyumaHivi jina lake ni nani tena?!
Hajarudi mkuu.Hahah pamoja sana. Vipi Nahrene![]()
Msubirie atarudiHajarudi mkuu.
Pitia post za nyuma
...............
Kweli ndoa zina shida.Msubirie atarudi
Msubirie atarudi
Ningekushauri uanze ukaguzi nyumba kwa nyumba...Hajarudi mkuu.
NdioWakuu hivi hizi mia tano za sarafu bado zinatumika.
Mbona mtaani hazionekani?
Hajarudi mkuu.
Aisee,huyu mwanamke ni pasua kichwa.Ningekushauri uanze ukaguzi nyumba kwa nyumba...
Mbona huku mtaani sizioni mkuu.Ndio
Uvumilivu tu kakaKweli ndoa zina shida.
Wewe nakujua ni sawa na wale bacteria tunaita *Normal Flora*Niko naye hapa
Hata sasa ninayo kwenye mfuko wanguMbona huku mtaani sizioni mkuu.
Wewe mara mwisho umeikamata lini?
Nitasubiri tu hakuna namna.Uvumilivu tu kaka
Kwani ume gundishiwa njia kuu?? Chepuka kidogo apate wivuAisee,huyu mwanamke ni pasua kichwa.