Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Hhahaha.sawa mkuu.Hata sasa ninayo kwenye mfuko wangu
Hhahaha.sawa mkuu.Hata sasa ninayo kwenye mfuko wangu
Samahani....we si umemquote, unaweza kumpata kirahisi. Mie nahitaji jina lake tu. Nichekie president
Huu ushauli wako siutaki,alafu nikiachwa utakuwa wa kwanza kunicheka.Kwani ume gundishiwa njia kuu?? Chepuka kidogo apate wivu
Zipo nyingi tu... Mwenzi ulopita nilipata kifuko cha laki mbili nikagawa chance sikua na namnaMbona huku mtaani sizioni mkuu.
Wewe mara mwisho umeikamata lini?
Umegawa wapi mkuu.Zipo nyingi tu... Mwenzi ulopita nilipata kifuko cha laki mbili nikagawa chance sikua na namna
Safi sana kijanaNitasubiri tu hakuna namna.
Basi acha kulia lia hapa... Mkiambiwa bakini single hamtaki mnajifanya vidume. Shauri lakoHuu ushauli wako siutaki,alafu nikiachwa utakuwa wa kwanza kunicheka.
Mwanaume inatakiwa kuwa na msimamoSafi sana kijana
Safi sana kijana
Kwa wenye uhitaji wa change... Sio bure mkuu ni exchange in notiUmegawa wapi mkuu.
Nilijua umegawa bure mkuu.Kwa wenye uhitaji wa change... Sio bure mkuu ni exchange in noti
Msimamo wako upi sasa?Mwanaume inatakiwa kuwa na msimamo
Kwa utajiri upi mkuu!?!?Nilijua umegawa bure mkuu.
Salama kabisa. Karibu tenaAje wakuu
KaribuOkaaaaay....people!! Naomba niwasilishe ombi langu