EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Safi tu braza, naona umesharejea wewe mda mrefu!Salama mkuu mambo vipi.
Safi tu braza, naona umesharejea wewe mda mrefu!Salama mkuu mambo vipi.
Daaa majukumu yananiandamaa ilaa tupo pamoja mkuu vp kipenz cha moyo wako mzmaaHujaonekana kabisa leo mkuu
Nani tena?Uvumilivu una kikomo..huyu kazidi sasa
...........
Ni hakika na kweli.Nzuri sana mkuu Emmyguy....mvua still inanyesha na mazao shambani yanazidi kukua....habari ya kwako ww?
Salama mkuu, habari ya majukumu?Habari zenu humu ndani...😱
Pamoja sanaaa........ Yeye hajamboDaaa majukumu yananiandamaa ilaa tupo pamoja mkuu vp kipenz cha moyo wako mzmaa
Nzuri sana, habari ya wewe?Habari zenu humu ndani...😱
Salama mkuu, habari ya majukumu?
Basi sawaaaaaaaaaaa!!!!Hata cc ni watoto wa watu Jimena
Mfikishieee salama zanguPamoja sanaaa........ Yeye hajambo
Dawa ya mjinga ni kumkalia kimya.Uvumilivu una kikomo..huyu kazidi sasa atachafuaje thread yetu ?
...........
Salam mkuu za sikuHabari zenu humu ndani...😱
Atapata salamu pindi akipita kuchungulia hapaMfikishieee salama zangu
Ni nzuri kaka, habari ya kazi vipi?Habari zenu humu ndani...😱