Ombi gani tena Mkuu?Jamani nina ombi🙄🙄
Angalia ukubwa wa tusi halafu kaandika kwa herufi kubwa....tukimjibu kwa upoleupole atarudi tenaDawa ya mjinga ni kumkalia kimya.
Nimeona ume like!!!! PoleSijaelewa maana hii lugha ina ukakasi
KaribuNahitaji kuwa familia ya Makapuku
Nimedislike tayariNimeona ume like!!!! Pole
Kuna mtu amechafua hewa.😱😱😱😱😱
Kwani vip
Wow nimefurahi kukuonaaa karibuuuhivi na mie humu nimo!
Karibuuuuu unatumia kunywaji gani?Nahitaji kuwa familia ya Makapuku
Wewe ume qualify 100% karibuNahitaji kuwa familia ya Makapuku
NimeREPORT spam .....si unajua ni mkongwe wa 2010 kwahiyo tutapotezewa ndo maana nimemjibuDaah...jamaa sio mzima. Ila mie naomba bitoz ukamuombee ban tu, au tukinukishe mpaka achapwe BAN
Acha kujitetea sema kuoga sio hobby yakoWatu mnakimbia sana,mtatufanya hata kuoga tusioge sasa.
Huyu apate adhabu humu humu.... No like & no quotes...tumpuuzeDaah...jamaa sio mzima. Ila mie naomba bitoz ukamuombee ban tu, au tukinukishe mpaka achapwe BAN
Nimerejea mkuu.Safi tu braza, naona umesharejea wewe mda mrefu!
Hhahaha.Acha kujitetea sema kuoga sio hobby yako
Asante sanaWewe ume qualify 100% karibu