BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
I see hatariWaliwaleta kule Florida eti wawasaidie kutatua tatizo la panya wakazaliana haraka haraka panya walipoisha wakaanza kula nyoka wenyeji, ndege, samaki, sungura, squirrel na kila aina ya viumbe wenyewe hawachagui. Sasa wamegeuka na kusababisha environmental crisis ya hali ya juu. Leo hii ukikamata mmoja unalipwa mpaka dola 100 kulingana na ukubwa wake. Kwa wenye utaalamu wa kukamata nyoka waende huko wakapige mzigo...
hahhahaWeka picha
hongera sna mama mchuchuWatano
Mnaongelea ufugaji wa nini? Majoka ya Bitoz au wanyama gani?
aiseeeAcha kabisa hauna mfano
Hips za mwanamke mkuu zipo kila size1/The Titanoboa SnakeInakadiriwa alitoweka duniani takribani miaka Milioni 50 iliyopita
Alikuwepo huko Colombia ndo kuna makumbusho ya mabaki yake
Alikuwa na urefu wa futi 42 na uzito karibia tani 1
Upana wake ni sawa na hips za mwanamke?
Ahsanteni kwa kuwa nami
Mwisho
.......
JamaanTuliokula bulger hakika tuna wajukuu
sio fb au insta hapaHapo patamu
Aisee inasikitisha sanaJuzi kuna kijan wa miaka 25 sikumbuki nchi gani alikwenda kuvuna mawese akapotea walimtafuta sana sana baadae wakamkuta huyu jamaa tumbo lina alama ya kiatu wakampasua ,so,sad alikua kammeza kijana RIP kijana
Usije kukimbia tu ukasingizia utaota kama mukongoWenye phobia ya nyoka leo kazi wanayo. Ukifikia kuchambua aina za mende uniite
Cc shunie, Hongera sana mama mchungajiWatano
Nyama pendwa mjiniMnaongelea ufugaji wa nini? Majoka ya Bitoz au wanyama gani?
Ni kweli kabisaTuliokula bulger hakika tuna wajukuu
Du mkuu wanataga au wanabeba mimbaNge jike harafu sasa liwe na mimba, maumivu yake si mchezo
AiseeJuzi kuna kijan wa miaka 25 sikumbuki nchi gani alikwenda kuvuna mawese akapotea walimtafuta sana sana baadae wakamkuta huyu jamaa tumbo lina alama ya kiatu wakampasua ,so,sad alikua kammeza kijana RIP kijana
KabisaMama mchungaji Kala chumvi nyingi
Kama KawaAcha tu shemela uku na ndizi za kuchoma na kabeer pembeni
Alikuwa ni mchezajiMkuu ndo ulikuwa ripota wa tukio nini maana picha inasema yote
Nimeona shemela hongera zake sanaCc shunie, Hongera sana mama mchungaji