Makapuku Forum

[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
kwaiyo umefurahi nilivyotumbuliwa
Acha na wengine wajaribu. Ulikuwa umeanza kuringa kisa eti unamlinda Shunie - malkia wa JF!. Ulijichanganya tangu mwanzo ulipoanza kwa kumtongoza kwanza. Hata mimi ningekutimua tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna!
 
Khaaa msukuma me ujue namkubali sana shedede nitaongea vizuri na lee ampe last chance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…