Makapuku Forum

Kwa wasiojua Maandamano Fc bado yupo kwenye wakati mgumu maana akifingwa mechi ya fainali ndo basi tena wakati Yanga anaweza kushika nafasi ya pili kwenye ligi na km Simba akishinda FA Basi Yanga kimataifa km kawa

Yanga jana ingemfunga Mbao basi ingewahakikishia Simba kushiriki kimataifa bila mujali nani angeshinda fainali au nani atakuwa bingwa VPL
Iwapo Mbao wakikaza fainali Simba mtabaki mchangani
Asubuhi Njema
...........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…