Makapuku Forum

Makapuku wengi wapo private sector
Mmmh mimi na familia yangu mtuombeee tu,kuna ndugu zangu wamenipigia simu yamewakuta,bado wadogo wala hatukujua..nimewashauri waje kwanza maana wako katika wakati mgumu wana shock na kukata tamaa,nawaombea amani wote waliopata shida hii na Mungu awatie nguvu maana ni ngumu kupokea ila ndio limeshatokea .
 
Tanga kuna minazi inazaa baada ya miaka mitatu
 
Napendelea vitu vya kienyeji
Huwezi kunilisha nafikiri yenye rangi km kombati za jeshi
Pia napenda mafuta ya mawese cha ajabu nikienda kijijini wananipikia mafuta ya kisasa
.......
Vitu vya kienyeji ni vizuri sana mimi nakula dona ,huwa napata changamoto ndugu zangu wakija toka kijijini, hakika hawafurahii dona inabidi niwaandalie unga wao
 
Hili ni janga kubwa, shemeji zangu wawili limewakumba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…