Uko sahihi kabisa, fanya siku moja utumegee japo kwa uchache mambo ya DNAHili bado ni fumbo kubwa. Wanasema kuwa siku tukiweza kusoma kila code na kuelewa kila kitu kilichomo basi si ajabu tutaweza kufumbua mafumbo yote ya maisha yetu - tumetoka wapi? Kwa nini tuko hapa? Kwa nini tunazeeka? Kwa nini huwa tunaugua? Twaweza kuishi milele? The possibilities are endless! Wanasema siri zote - ikiwemo kama kuna ndugu zetu wengine huko katika sayari na malimwengu (universes) mengine pengine zimefichwa katika DNA zetu. Ndiyo maana Genetics bado ni mojawapo ya nyanja za sayansi zinazosisimua sana tangu mlango ufunguliwe na mtawa Gregory Mendel zaidi ya miaka 120 iliyopita.
Huku kwetu kuna mtu anandimu hazina mbegu ni kubwa mnooo na zina maji mengiii ukitaka kupanda uwe na mti mbegu hakuna,na mti wake unazaaa sana
Mkuu hebu tumegee kidogo kuhusu Gregory MendelHili bado ni fumbo kubwa. Wanasema kuwa siku tukiweza kusoma kila code na kuelewa kila kitu kilichomo basi si ajabu tutaweza kufumbua mafumbo yote ya maisha yetu - tumetoka wapi? Kwa nini tuko hapa? Kwa nini tunazeeka? Kwa nini huwa tunaugua? Twaweza kuishi milele? The possibilities are endless! Wanasema siri zote - ikiwemo kama kuna ndugu zetu wengine huko katika sayari na malimwengu (universes) mengine pengine zimefichwa katika DNA zetu. Ndiyo maana Genetics bado ni mojawapo ya nyanja za sayansi zinazosisimua sana tangu mlango ufunguliwe na mtawa Gregory Mendel zaidi ya miaka 120 iliyopita.
HiHello
Madenge umezidisha sasa. Teknolojia hii ina faida nyingi lakini, kama ilivyo kawaida ya teknolojia nyingi nyingine, inawezekana ikawa na madhara makubwa zaidi. Japo imeweza kutupatia mazao yanayokomaa kwa muda mfupi, yanayostahimili ukame, yasiyoshambuliwa na magonjwa hovyo hovyo, yenye virutubisho vingi zaidi na yasiyohitaji uangalizi wa karibu (mfano kupaliliwa mara kwa mara), madhara yake bado hayajaeleweka sawa sawa; na inatakiwa isimamiwe ili isitumiwe vibaya.
Wanasema nyumbu ametokanana na punda na ngamia, sijui kuna ukweli hapoMmmh huyu nyati ,ng'ombe
Hivi kuku anahitaji jogoo ndiyo atage mayai? Au anahitaji jogoo ili atage mayai yaliyorutubishwa? Wafuga kuku hasa wale wa mayai bila shaka mnajua...Na vipi kuhusu kuku wa mayai wanaokula na kutaga bila ya Jogoo?
Poa kabisa mkuu, kama kawaida usiku kwa usikuSafi tu kiongozi..mambo vipi
Ni kila tripWalipunguza,elfu tano kwenda,elfu tano kurudi mwanzo ilikua elf saba
Sijui huko tunakoelekea kama ni kuzuriI see,nimewahi kula asali ina harufu na ladha ya machungwa wana sema nyuki wake wamkuwa restricted kwenye michungwa tu sikuelewa
Haaaaahaaaa
Pia huo mti unaua ardhiHuku kwetu kuna mtu anandimu hazina mbegu ni kubwa mnooo na zina maji mengiii ukitaka kupanda uwe na mti mbegu hakuna,na mti wake unazaaa sana
Makapuku wengi wapo private sectorJamani hakuna kapuku aliyekutana na rungu la vyeti feki?
Mshikaji wangu Ziro kibarua chake serikalini mwisho leo halafu jinsi alivyokuwa na dharau na nyodo sijui ataishi vipi kitaa
Pole sana Ziro
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Kuku hahitaji jogoo ili atage, .....jogoo ni kwa ajili ya kurutubisha mayai.Hivi kuku anahitaji jogoo ndiyo atage mayai? Au anahitaji jogoo ili atage mayai yaliyorutubishwa? Wafuga kuku hasa wale wa mayai bila shaka mnajua...
Napendelea vitu vya kienyejiHuku kwetu kuna mtu anandimu hazina mbegu ni kubwa mnooo na zina maji mengiii ukitaka kupanda uwe na mti mbegu hakuna,na mti wake unazaaa sana
Si mtasha kaingia kijiji ndio maana[emoji13]Napendelea vitu vya kienyeji
Huwezi kunilisha nafikiri yenye rangi km kombati za jeshi
Pia napenda mafuta ya mawese cha ajabu nikienda kijijini wananipikia mafuta ya kisasa
.......
OkayZina discount ya sh 5000 kwa trip
Asante mkuu nashukuru sanaGari ndogo ndogo ni sh 1500
Gari kubwa kama Prado ni 2000
Eicher ni 7000
Sem ni 25,000
Cc Mama mchungaji
Cc Mndali