Makapuku Forum


Upuuzi wa Wanasayansi

.......
GMO (Genetically Engineered Organisms) hizi. Bado hatujajua madhara yake sawa sawa japo wengi wanahofia miripuko mipya ya kansa na magonjwa mapya huko mbele ya safari. Monsanto - kampuni kubwa la Kimarekani linalojihusisha na umiliki (through patents ownership) na uuzaji wa mbegu tayari wameshafanikiwa kutengeneza mbegu za machungwa zilizochanganywa na DNA ya samaki. Kwa hivyo usishangae siku moja ukila chungwa halafu ukasikia harufu ya samaki
. Ni hatari!
 
Yah ni kubwa kipesa na kwa promotion lakini kiubora epl bado sana.
Hata kiushindani.... England sasa timu sita zote zinaweza kuwa bing bingwa... Chelsea totenham Liverpool Man city Man United Arsenal........ Mbali ya washtukiziaji kama Leicester.
Spain -Real Madrid Barcelona
Germany -Bayern Munich
Italy -juventus AC Milan inter Milan
Kwa hio ushindani uko zaidi EPL.
 
I see,nimewahi kula asali ina harufu na ladha ya machungwa wana sema nyuki wake wamkuwa restricted kwenye michungwa tu sikuelewa
 
Na vipi kuhusu kuku wa mayai wanaokula na kutaga bila ya Jogoo?
 

Waswahili husema ujanja mwingi ni ujinga
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…