Licha ya kwamba bingwa hajabadilika lakini ubora wa wachezaji na ligi kwa ujumla bundesliga is more far away kuliko EPL,Ligi ambao bingwa habadiliki inaboa.....inaonesha gap kubwa kati yao
Matokeo yake wachezaji wote wanataka wasajiliwe Bayern
......
1992 - Marc Andre ter Stegen anazaliwa.
Kipa wa Barcelona na timu ya taifa ya Ujerumani.
Mkuu acha utaniLicha ya kwamba bingwa hajabadilika lakini ubora wa wachezaji na ligi kwa ujumla bundesliga is more far away kuliko EPL,
SijajuaNanasi ndio zao lao kuu la biashara?
SHIMBAOyooooooooo safi Sanaaa.....kweli SHIMBA alisema Joshua akifika raundi ya 5 atashinda.....Joshua Oyeeeeee
Mkuu acha utani
Mjerumani v MuingerezaLicha ya kwamba bingwa hajabadilika lakini ubora wa wachezaji na ligi kwa ujumla bundesliga is more far away kuliko EPL,
msimu ujao wasahau na wasipoangalia wataishia watatu kwenye msimamo.Lishakuwa kuwa lao hawa majamaa
Hata Dortmund pia,Labda RB Leipzig ataleta changamoto msimu ujao
kweli mkuu, unataka ufananishe ligi ya uingereza na ujerumani?Mkuu acha utani
morning mkuu, hilo jina lako linanikumbusha mbali sana.Goodmorning family
Habari yako mkuuPamoja Mkuu
Sunderland tawi lenu1981 - John O'shea anazaliwa.
Beki wa zamani wa Man Utd ambaye anacheza Sunderland kwa sasa iliyoshuka daraja jana.
Akiwa Man Utd alishinda mataji matano ya EPL na Klabu bingwa ulaya moja.
Tuko poa habari ya kwako weweGoodmorning family
Point 6 zimeondoka aiseeSunderland tawi lenu
Haya bhana mdau wa Bundesligakweli mkuu, unataka ufananishe ligi ya uingereza na ujerumani?
EPL is just vodacom premier league with a lot of money.
Dua la kukuSiikubali Chelsea ila kwa Leo niko upande wao wanipigie huyu mtoto mtukutu
Epl ni ligi kubwa, Bundesliga anasubiri sanakweli mkuu, unataka ufananishe ligi ya uingereza na ujerumani?
EPL is just vodacom premier league with a lot of money.
Morning mukongoGoodmorning family
Nzuri, habari za weweHabar ya jp
Yah ni kubwa kipesa na kwa promotion lakini kiubora epl bado sana.Epl ni ligi kubwa, Bundesliga anasubiri sana