Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
World Boxing AssociationWBA maana yake tafadhali
Asantee mkuuLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Ahsante mkuu Mussolin5 kwa historia mujarabuLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Nanasi ndio zao lao kuu la biashara?
Aisee1945 - Adolf Hitler na Mkewe Eva Braun wanajiua hiyo ni baada ya masaa 24 toka wafunge ndoa yao.
Kufariki Dunia kwa Hitler kunahitimisha Vita Kuu ya Pili ya Dunia kwa Ujerumani ambayo inakubali yaishe.
Ikumbukwe Hitler aliamua kujiua mara baada ya kuona rafiki yake Benito Mussolini alivyoteswa kabla ya kuuwawa hivyo hakutaka kuteseka wala kuadhirika.
Ingawa mpaka leo kuna utata ni jinsi kifo cha Hitler kilitokea, kuna wanaoamini alijipiga risasi na kuna wanaoamini alidumbukia kwenye Acid. Maiti yake haikuwahi kupatikana.
Oyooooooooo safi Sanaaa.....kweli SHIMBA alisema Joshua akifika raundi ya 5 atashinda.....Joshua Oyeeeeee
Raundi ya 11
klitschnko kaenda chini mara 2 akanyanyuka na kudundwa za fastafasta
Joshua kashinda KO ya raundi ya 11
Games 19
KO 19
Usiku mwema
...........
Labda RB Leipzig ataleta changamoto msimu ujaojana bayern munich wameshinda kombe lao la bundesliga kwa mara ya tano mfululizo baada ya kuifunga Wolfsburg 6-0.
ni kombe lao la 13 katika miaka 20 iliyopita.
wakati huo huo dortmund kajihakikishia kishiriki uefa mwakani baada ya Hertha berlin kufungwa na Werder bremen.
kwenye mechi kati ya Dortmund vs cologne talk of the town haikua matokeo ya bila kufungana bali ilikua ni jinsi mchezaji wa zamani wa dortmund Subotic alivopokelewa na mashabiki wa Dortmund huku akipewa standings oviation baada ya mechi kuisha.
mchezaji huyo wa serbia mwenye umri wa miaka 28 amecheza dortmund toka msimu wa mwaka 2007/08 akitokea Mainz 05.
Oyoooooo...and just like that, we have a new era in the heavyweight division. After many years of stagnation and lack of enthusiasm under the Klitchiko brothers' domination, a new, young, entertaining and charismatic champion has just been crowned (Joshua). Wuhuuu...Let the new era begin. Heavyweight boxing is back baby
uko poaa ??Oyooooooooo safi Sanaaa.....kweli SHIMBA alisema Joshua akifika raundi ya 5 atashinda.....Joshua Oyeeeeee
1945 - Adolf Hitler na Mkewe Eva Braun wanajiua hiyo ni baada ya masaa 24 toka wafunge ndoa yao.
Kufariki Dunia kwa Hitler kunahitimisha Vita Kuu ya Pili ya Dunia kwa Ujerumani ambayo inakubali yaishe.
Ikumbukwe Hitler aliamua kujiua mara baada ya kuona rafiki yake Benito Mussolini alivyoteswa kabla ya kuuwawa hivyo hakutaka kuteseka wala kuadhirika.
Ingawa mpaka leo kuna utata ni jinsi kifo cha Hitler kilitokea, kuna wanaoamini alijipiga risasi na kuna wanaoamini alidumbukia kwenye Acid. Maiti yake haikuwahi kupatikana.
Okay maana nimezoea WBA ni West bromwich AlbionWorld Boxing Association
Pamoja MkuuAsantee mkuu
1945 - Gereza la mateso la Stalag Luft I huko Ujerumani lakombolewa na kushuhudia Wafungwa wa kivita 9000 wakiachiwa wengi wakiwa Waingereza na Wamarekani.
Kuanzia raundi ya 3 Kiltschko alikuwa amepasuka juu ya jicho lakini ilipofika raundi ya 6 Joshua akatupwa chini......Ni kweli unachokisema ...na wengi tulitegemea ashindwe kwa point na huyu Mr iron fist ...ila uwezo wake namna ya kuanza na kumaliza michezo yake kunamsaidiaa sana
1975 - Majeshi ya Kikomunisti ya Vietnam ya Kaskazini yakisaidiwa na Urusi, Cuba na China yanauteka mji wa Saigon huko Kusini mwa Vietnam na kuashiria kumalizika rasmi kwa vita ya Vietnam.
1981 - John O'shea anazaliwa.
Beki wa zamani wa Man Utd ambaye anacheza Sunderland kwa sasa iliyoshuka daraja jana.
Akiwa Man Utd alishinda mataji matano ya EPL na Klabu bingwa ulaya moja.