Makapuku Forum

Jimena nakubaliana na wewe ila sisi wanaume huwa tuna amini kwamba mwanamke yeyote anayeonyesha ugumu mwanzon wakati unamwa-approach huyu ndiye atakuja kukukubalia mwishoni so na amini jambilo hajapoteza track saaana wacha tutaona mwisho..

mmmmmhhh, du
 
Si tu anaranda randa ila ni anaranda randa huku anapiga ukunga kwa kila amuonae huko barabaran..
Jamani huyu mume keshanitumbua jipu,kasema sijui kuvaa,sijui mitoko na swaga za kileo...amempenda Jimena mara@everlenk mara anawaita warembo wakali...arande tu kwa kweli...nimempa kila kitu kaniona wa nini..sasa mimi namuona wa kazi gani
 
Hakuna haja ya kuwaqoute hao wapuuzi

Relax my friend hizi changamoto tu. Walikuja wengine kama hao wakasepa

Hajitambui huyo mpotezee tu. Ndugu kwema lakini
Ni kweli kabisa, walikuja mpaka wengine wakajaribu kuomba uzi upigwe ban ila waliambulia patupu. Hivyo hata huyu atapita pia
Tumpotezee
Hapana kuwaqoute wala kuwapa like
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…