Umeolewa au unatafuta meme hapaHiyo ndio tofauti ya malegend wa chit chat na makapuku wa chit chat
Umeolewa au unatafuta meme hapa
Punguza fix
Huna lolote
Usituharibie mood
Nenda kabwie ugoro
We bwege usitake kututafutia BAN km matusi tunajua zaidi yakoNatafuta mke kama uko tayari njoo, nyau wewe
Mumy...upo poa?Helo
Mkuu nakushauri acha kumjibu akichoka atasepa.Umeolewa au unatafuta meme hapa
Tunajadili jinsi ya kukimbiza nyumbuKweli nyie makapuku humu ndani nimepitiapitia naona full ukapuku na kweli nyie makapuku kweli hamueleweki hata mnazunguza nn.
We bwege usitake kututafutia BAN km matusi tunajua zaidi yako
Shame on u
A mbumbumbu
..............................
Yah Niko poa kiasi...mechoka sanaaaaMumy...upo poa?
We dada kichwa kikubwa lakini akili ndogoNatafuta mke kama uko tayari njoo, nyau wewe
Uko sahihi mkuu ni kweli hatujielewi!Kweli nyie makapuku humu ndani nimepitiapitia naona full ukapuku na kweli nyie makapuku kweli hamueleweki hata mnazunguza nn.
Hii ndiyo shida ya wazazi kutelekeza watoto.Aisee hivi BAN ndio kitu gani, makapuku hoyeee
We dada kichwa kikubwa lakini akili ndogo
Pole sana mke wangu kwa uchovu..basi we ukimaliza kuoga pumzika tu wala usipike mimi ntakuletea chakula kile ukipendacho mumy..Yah Niko poa kiasi...mechoka sanaaaa
Sie tunaelewanaKweli nyie makapuku humu ndani nimepitiapitia naona full ukapuku na kweli nyie makapuku kweli hamueleweki hata mnazunguza nn.

We bwege kuanzia sasa NAKUIGNOREAisee hivi BAN ndio kitu gani, makapuku hoyeee