Makapuku Forum

Makapuku Forum

Habari zilizonifikia punde kutoka vyanzo vya kuaminika ni kwamba baada ya zoezi la kuhakiki wafanyakazi hewa kukamilika serikali kupitia kurugenzi ya mahusiano na ustawi wa familia imemtaka kila mwanandoa kuhakiki michepuko ya mwenza wake na idadi ipelekwe ustawi wa jamii kabla ya siku saba ili wapangiwe majukumu mengine, aidha yeyote atakayeshindwa kufanya zoezi hilo mwenyewe baada ya muda huo kupita kitaundwa kikosi kazi cha ufuatiliaji na ikibainika ulificha ukweli unatumbuliwa!
 
Ha haa....
Th Name huna mchepuko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom