Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Mkuu nafasi yangu iko wapi, huoni juhudi zangu aiseeMakapuku
Founder : Bitoz
Assistant :Th Name & Jimena
Lakini ni fahari ya makapuku wote
..........
Mkuu nafasi yangu iko wapi, huoni juhudi zangu aiseeMakapuku
Founder : Bitoz
Assistant :Th Name & Jimena
Lakini ni fahari ya makapuku wote
..........
Njema kabisaa mwalimu Wa zamu.Habari zenu makapuku wenzangu? Naamini mpo sawa na mnakimbizana na maisha........
Viboko vimekatazwa mkuu!cku hizi hatuchapi tena......labda fimbo nyamaNjema kabisaa mwalimu Wa zamu.
Leo umechapa watoto wangapi

Wote mna umuhimuMkuu nafasi yangu iko wapi, huoni juhudi zangu aisee
Ha haaa... Ndio Hiyo nlimaanishaViboko vimekatazwa mkuu!cku hizi hatuchapi tena......labda fimbo nyama![]()
![]()
Asante shemAmaizing you are so amazing lady
Hio kawaida mkuu c unajua toleo jipya hili lilivyo tamu.......ni kama mbuzi tu unakula urefu wa kamba!Ha haaa... Ndio Hiyo nlimaanisha
Kweli mkuu.Hio kawaida mkuu c unajua toleo jipya hili lilivyo tamu.......ni kama mbuzi tu unakula urefu wa kamba!
Hawapo mbali watakuja mkuu
Hahahah sina mchepuko wala sihitaji. lizziebettie ananitosha sana brazaHa haa....
Th Name huna mchepuko
Wee viatu?au carpet? Ulivyonitesa na kuniacha kwa kashfa?Uwiiiiiiii hapana my sweety heart usifanye hivyo nko chini ya miguu yako
MamboWee viatu?au carpet? Ulivyonitesa na kuniacha kwa kashfa?
Teh .....huwezi kuelewa.Kweli nyie makapuku humu ndani nimepitiapitia naona full ukapuku na kweli nyie makapuku kweli hamueleweki hata mnazunguza nn.

Mkuu.....Mumy...upo poa?
Safi,karibuMambo
Mambo vipi T.O.DHawapo mbali watakuja mkuu
Aiseesi ujajua mgeni kwa presha kanipelekesha kwa simu muda huu ndo ananiambia yupo chalinze.