Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Usiniambie ulianza kukolea jimenaWe nawe usijesababisha nikaachika! Hivi huyu Patience123 yuko wapi jamani mpaka mume anaranda randa mitaani
Usiniambie ulianza kukolea jimenaWe nawe usijesababisha nikaachika! Hivi huyu Patience123 yuko wapi jamani mpaka mume anaranda randa mitaani
Yale yalikuwa maigizo tu sio serious, ilikuwa isidingo episode 2 sasa subiri episode 3 uone atatoka vipiMi nakushauri tu muweke wazi wamjue tu
Not yetUsiniambie ulianza kukolea jimena
Kwani bibi unataka nini aisee mshana jr hajakupa habari za hukuNaona unaanza kuchezea makende ya simba
Punguza mikwara
Tutakukufanyizia kitu mbaya
............
Kwani bibi unataka nini aisee mshana jr hajakupa habari za huku
Hello mambo vipi mkuu De kitambi!Hellow makapukuziii
Nimeelewa na mimi kama single boy nilikua ndani ya filamu hiiMkuu hapa nilivaa uhusika lengo ni kuwasuta watumishi wenye nia mbili, hivyo toa maoni yako nin kiongezwe na nin ipungunguzwe kwenye episode 3,
Hii imeisha mchungaji karejea uraiani sasa
Haka kabibi ka mshana jr kanataka mume kwa lazima hapaAisee mbona sielewi tena.
Si tu anaranda randa ila ni anaranda randa huku anapiga ukunga kwa kila amuonae huko barabaran..We nawe usijesababisha nikaachika! Hivi huyu Patience123 yuko wapi jamani mpaka mume anaranda randa mitaani
Mkuu siyo lazima upite huku kwa mapapuku,kwanza hakuna mtu amekuita umekuja mwenyewe, sasa unaleta vurugu watu wenyewe tumetulia unamaanisha nini au umepotezana na mzazi wako unamtafuta humu ndani!Hiyo ndio tofauti ya malegend wa chit chat na makapuku wa chit chat
Hili nalo ni tatizo jamaniiSi tu anaranda randa ila ni anaranda randa huku anapiga ukunga kwa kila amuonae huko barabaran..

Mtu mwenyewe ametolewa bikira kwa kubakwa unahangaika naye wa nini potezea.Haka kabibi ka mshana jr kanataka mume kwa lazima hapa
Poa mkuu karibu sana Juwaa la watu wapole MF.yap mi Niko pw but leo hapa joto city kumepoa sana nipo napunga. Upepo maeneo flani iviii karibu mkuu
Punguza fixDogo acha mikwara
Hiyo ndio tofauti ya malegend wa chit chat na makapuku wa chit chat
HeloSi tu anaranda randa ila ni anaranda randa huku anapiga ukunga kwa kila amuonae huko barabaran..