Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Asante sana mtumishi. Surprisingly jino limetulia na sijanywa hata haya mapain killers waliyonipa. Mungu ni mwema!Umeshindaje SHIMBA YA BUYENZE Pole sana vipi hali yako Mungu aendelee kukupa uponyaji uwe mzima,pole tunakuombea[emoji120]
Ahaaaaaah siwezii kuwemoosawa mkuu, kama kwenye list la magu haupo basi upo poa kweli kweli
Naona unapitia ripotiNiko makinii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angalia Shunie asije akapata mshtuko wa moyo....[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio, wewe.Umeniuliza Mimi au ??
Nasubiriaaa ripoti yakeShedede nilimkurupua jana nikamshauri ahamie katika banda la mlinzi. Alikuwa amehamishia sime na rungu lake nyumba kubwa...
All in all karibu tena mkuu. I hope all is well huko ulikokuwa kwa sababu yaani watu wanakufa ile mbaya. Kila siku misiba kibao. Dunia hii hovyo kabisa!
Tunamshukuru Mungu kwa hilo maana amejibu maombi yetu Haleluiya[emoji120] [emoji123]Asante sana mtumishi. Surprisingly jino limetulia na sijanywa hata haya mapain killers waliyonipa. Mungu ni mwema!
Mama mchungaji za jioni
Kama KawaMnaziiii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Bibi Froli-lori[emoji4]
Mndali niajeUsiadimike sana
Kwenye ubora wakeFF leo mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niko poa mkuu wewe je?Mndali niaje
Karibu tena mtoto wa MaoWakuu natanguliza salaam ....
Nimewamis mpaka bhasiii Ila sikuwa na jinsi at tyme inatupasa kulitumikia taifa kuliko linavotutumikia sisi ...nimewamis sanaaaaaaaaaaaaaaa
Nimeshindwa nianzie wapi ikabidi niskip all pages but hopefully wote mu' wazima
Kuanzia kwa shunie ....(special greatingz) ...to all kapuku wote
Mama mtumishiii ....nimekumis
Balozi Bitoz ....kinomanomaa
Mukongo....nothing to say
Mndali ....loooooh
Shululu...au ushakimbiaa
Mr &Mrs T....my God
Dikteta ...moment zako nikitoka asbh unatinga...
Mondray...na Ray..
Nyagei katibuuuuuuuu....
Baba paroko ...sijui nisemejeee
Valentinaa....nimekumisimoo
Bhinamuu obee ....na nyuziiiiiii
Mkuu tetra ...upooo
Snipes aka kidukuuu...
Msukuma wa koromije..S B ntapewa ripotiii
Na makapuku wote majina ni mengi na nawakumbuka na kuwapenda woteee...najua wageni wapo kibao ila wikend hii tunalamba sahani mojaaa....
Msamaha wenu ....nisamehe nilishindwa kutoa taarifa rasmi kuwa ntawamisisha segment ya mapema magazeti na uf...nisameheni Ila Mimi mzima
Shunie mama sara zako zinaniongozaaaaaaa
....
Shedeeeeedeeee naamini kazi umeifanya haswaaa...ntaomba ropotiiiii
Unaniona kwa mbali au karibu maana mmeadimika pamoja mmerudi pamojaAhaaaaaah
Mkuu nakuonaa
MhhhhhhmhhhhhMmmmmmmh tukiulizwa maswaliiii [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
NagoogleNdio, wewe.
Kazi ipoKwa hisani kubwa ya Bitoz na darasa huru alilotupa ...nimefanya practical
Inspector shedede naomba na wewe ripoti yakoooo tafwazwariiiiiiii...