Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Sawa habr ya huko kwenuSawa,si adimiki tena
Sawa habr ya huko kwenuSawa,si adimiki tena
Huku giza tu sahizi,mvua inamendeaSawa habr ya huko kwenu
Pole mkuu ila tumshukuru mungu maana kunasehemu wanahitaji hata Hiyo mvuaHuku giza tu sahizi,mvua inamendea
Yani tunashkuru sana,inatuondolea japo vumbi kwa sie wamjiniPole mkuu ila tumshukuru mungu maana kunasehemu wanahitaji hata Hiyo mvua
Vizuri mi nilipo leo jua linawaka japo kuna mawingu kidogoYani tunashkuru sana,inatuondolea japo vumbi kwa sie wamjini
Basi hapo ndo hua nafikiria maajabu ya Mungu juu ya mpangilio wa majira na hali ya hewa sehemu mbalimbaliVizuri mi nilipo leo jua linawaka japo kuna mawingu kidogo
Ndo hivyo mungu anafanya kila kitu kwa wakati wakeBasi hapo ndo hua nafikiria maajabu ya Mungu juu ya mpangilio wa majira na hali ya hewa sehemu mbalimbali
TununuTwisa dada utwauko

Amen Amen SirMadam, Bwana Yesu asifiwe![]()

Mimi sasaNimewamiss...
Katii ya vitu muhimu vilivyofanya nitoroke porini ni hili pambano Kali acha zile mbwembwe za pac na mw ...rekodi za hawa majamaa ni shida na kizuri ni kama ticha na mwanafunzii..miaka 41 kwa 27 duuuuuuh ...Mr iron fist ngoja tuone kama anashushwa heshima na AJ...![]()
Live TV1
SAA 2 USIKU
Msikose
................
Wewe umenimiss % ngapi?Mimi sasa
Kumbe nawe hukuwepo eeh. Mwenyewe nimerudi leoWakuu natanguliza salaam ....
Nimewamis mpaka bhasiii Ila sikuwa na jinsi at tyme inatupasa kulitumikia taifa kuliko linavotutumikia sisi ...nimewamis sanaaaaaaaaaaaaaaa
Nimeshindwa nianzie wapi ikabidi niskip all pages but hopefully wote mu' wazima
Kuanzia kwa shunie ....(special greatingz) ...to all kapuku wote
Mama mtumishiii ....nimekumis
Balozi Bitoz ....kinomanomaa
Mukongo....nothing to say
Mndali ....loooooh
Shululu...au ushakimbiaa
Mr &Mrs T....my God
Dikteta ...moment zako nikitoka asbh unatinga...
Mondray...na Ray..
Nyagei katibuuuuuuuu....
Baba paroko ...sijui nisemejeee
Valentinaa....nimekumisimoo
Bhinamuu obee ....na nyuziiiiiii
Mkuu tetra ...upooo
Snipes aka kidukuuu...
Na makapuku wote majina ni mengi na nawakumbuka na kuwapenda woteee...najua wageni wapo kibao ila wikend hii tunalamba sahani mojaaa....
Msamaha wenu ....nisamehe nilishindwa kutoa taarifa rasmi kuwa ntawamisisha segment ya mapema magazeti na uf...nisameheni Ila Mimi mzima
Shunie mama sara zako zinaniongozaaaaaaa
....
Shedeeeeedeeee naamini kazi umeifanya haswaaa...ntaomba ropotiiiii
Asante sana![]()
Live TV1
SAA 2 USIKU
Msikose
................

Tumekumis sana Lee karibu sana naamini Mungu alikufanyia wepesi katika kila jambo.Wakuu natanguliza salaam ....
Nimewamis mpaka bhasiii Ila sikuwa na jinsi at tyme inatupasa kulitumikia taifa kuliko linavotutumikia sisi ...nimewamis sanaaaaaaaaaaaaaaa
Nimeshindwa nianzie wapi ikabidi niskip all pages but hopefully wote mu' wazima
Kuanzia kwa shunie ....(special greatingz) ...to all kapuku wote
Mama mtumishiii ....nimekumis
Balozi Bitoz ....kinomanomaa
Mukongo....nothing to say
Mndali ....loooooh
Shululu...au ushakimbiaa
Mr &Mrs T....my God
Dikteta ...moment zako nikitoka asbh unatinga...
Mondray...na Ray..
Nyagei katibuuuuuuuu....
Baba paroko ...sijui nisemejeee
Valentinaa....nimekumisimoo
Bhinamuu obee ....na nyuziiiiiii
Mkuu tetra ...upooo
Snipes aka kidukuuu...
Na makapuku wote majina ni mengi na nawakumbuka na kuwapenda woteee...najua wageni wapo kibao ila wikend hii tunalamba sahani mojaaa....
Msamaha wenu ....nisamehe nilishindwa kutoa taarifa rasmi kuwa ntawamisisha segment ya mapema magazeti na uf...nisameheni Ila Mimi mzima
Shunie mama sara zako zinaniongozaaaaaaa
....
Shedeeeeedeeee naamini kazi umeifanya haswaaa...ntaomba ropotiiiii

Achilimiaaaaa zoteeeeeeWewe umenimiss % ngapi?
Mmmmmmmh tukiulizwa maswaliiiiKumbe nawe hukuwepo eeh. Mwenyewe nimerudi leo