shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
China inamuhusu aisee
China inamuhusu aisee
Yule sio mzuri, Ni bahati tu![]()
Madrid mbona wana kipa nzuri tu au wanatafuta aifa
....
Ringard atacheza kweli
Sawa Sheikh YahyaHawezi kutoka Emirates
Bado hajaisha kivileChina inamuhusu aisee
Ni kipa mzuri tu sema Madrid wanapenda kusajiri majina mkubwa ndo hadhi unayoisema labdaYule sio mzuri, Ni bahati tu
Kifupi haendani na hadhi ya club
Km kawaRingard atacheza kweli
Kijiwe maarufu cha Waswahili maarufu Wazee wa Dar Es Salaam.K,koo kulikuwa na kijiwe kinaitwa Saigon
Poa ntaziweka mida.Leo hakuna picha kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu
.....
Mkuu leo anacheza Simba au Yanga?Kijiwe maarufu cha Waswahili maarufu Wazee wa Dar Es Salaam.
Hapo wapo hadi wanausalama.
Simba Vs AzamMkuu leo anacheza Simba au Yanga?
.....
Heheeeeeeeeee
Bila Shaka kabisa, walikuwa wanajua matukio yote ya darKijiwe maarufu cha Waswahili maarufu Wazee wa Dar Es Salaam.
Hapo wapo hadi wanausalama.
Hizi ndoto ni shida