Makapuku Forum

Makapuku Forum

88acb0e02b3f59005d4c5f2fb3fb844d.jpg
 
Yeah, yaani jamaa kafa unexpectedly kabisa bado akiwa kijana tena mtu wa mazoezi gym humkosi. Sasa sijui ni Malaria ameichezea. So sad!

Root canal mateso tu. Nadhani nitaling'oa tu halafu nitaangalia utaratibu wa kuweka jingine. Nikimeza dawa za maumivu mpaka nasahau lakini after 6 hrs naanza tena kusikia mpwito mpwito.
Bora kung'oa hata wahenga walisema dawa ya jino KUNG'OA..Utakuwa sawa tunakuombea
 
Wanasayansi bwana!

Mchapo. Jamaa wa NASA walienda na BIC mwezini zikagoma kuandika kwa sababu sijui hakuna gravity na presha ni kidogo. Waliporudi wakafanya utafiti mpaka wakaweza kutengeneza kalamu zenye wino maalum usioathiriwa na gravity wala presha kwa kutumia zaidi ya dola milioni 30. Warusi wao wakaenda anga za juu na penseli tu na hawakuwa na tatizo lo lote!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom