Makapuku Forum

Makapuku Forum

France league 1
6cca8a2c5580cbe8b01ffb2e842b7f59.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu acha nilale kwahiyo simu ya tachi huna hapo ulipo unatumia simu gani
nitamwambia mjomba ako akununulie simu ya tachi ngoja arudi


Sawa, ukimwambia wewe anunue simu atakubali fasta, mimi huwa namkumbusha krismasi ya 7 sasa hadi.

Kwa sasa hivi natumia kompyuta ya ofisini, bosi akiwepo tu ndo mnakuwa mara mnaniona mara hamnioni kama kivuli vile.

Njozi njema
 
Back
Top Bottom