Makapuku Forum

Mimi na mpira hatupatani kabisa. Mimi ni masumbwi na Mixed Martial Arts (MMA). Nasubiri kesho kati ya Vladimir Klitchiko na Joshua Wembley stadium. Watu 90,000 wanategemewa kuhudhuria. I wish I were in the UK. Nisingekosa!
4e4caa9c49c744ecff5e8a8a7beb3fca.jpg
5016ff5a6aaf8bdd602ccf58e780b5a7.jpg
Pambano litaoneshwa muda gani? Halafu channel ipi?
 
Michael Jackson na Elizabeth Taylor walikuwa wana mahusiano gani jamani?

Rejea video ya Liberian Girl inapoanza au inapoisha wanasema This video is dedicated to Elizabeth Taylor.

Je huyu Elizabeth Taylor alikuwa ni nani kwa Michael Jackson ( MJ )?

Cc:

shululu
werrason
Shunie
46ff4fe7d4624a802e1e340cf3067718.jpg
c00b7cce34aa7a344d28fc3f60d87d7d.jpg
Iwalikuwa na uhusiano wa kimapenzi kiasi kwamba Wacko Jacko akawa "anahonga" almasi za kufa mtu
....
 
Michael Jackson na Elizabeth Taylor walikuwa wana mahusiano gani jamani?

Rejea video ya Liberian Girl inapoanza au inapoisha wanasema This video is dedicated to Elizabeth Taylor.

Je huyu Elizabeth Taylor alikuwa ni nani kwa Michael Jackson ( MJ )?

Cc:

shululu
werrason
Shunie
walikua na mahusiano mpaka wakafunga ndoa
 
mkuu mi sio mfuatiliaji wa hizi mambo, ila nimeona tu ina trend sana kwenye social network, mi zangu ni football, formular one, na basketball, ila kwenye huo mchezo ambao hauna hata sub walaaa.
Sub ya nini ndugu? Hapa ni wewe na roho yako na ukizubaa unauliwa. Ni mojawapo ya michezo michache inayouanika unyama wa binadamu - kuwa binadamu ni mnyama tu japo amejipachika cheo cha Homo Sapiens! Ndiyo maana ameunda mpaka masilaha makali ya Nyuklia, masilaha ambayo yanaweza kuka-mute kasayari kake haka anakokategemea kasikalike tena. Sijui plan B ni nini....

Ni mfuasi mzuri wa Immanuel Kant na falsafa yake ya Existentialism. Huwa inanipa mwanya wa kuziona mbwembwe na unafiki wa binadamu ambaye kimsingi ni mnyama tu anayesubiri kufa - japo ana mategemeo ya kuokolewa kupitia dini zake mbalimbali...

Kesho Wembley stadium kunawaka moto. Japo najua pengine Klitchiko atashinda ila ingependeza kama angedundwa. Amekuwa reigning championi kwa zaidi ya miaka 10 na heavyweight division imedumaa kwa sababu yake. Akidundwa halafu astaafu pengine tutapata heavyweights wengine "wanaojua" kupigana walete msisimko mpya tuendelee kufaudu unyama wa Bin Adam.
2752beb0adcc833e93342edec44cbdaf.jpg
Kulia ni Vitali Klitchiko. Ni kaka mkubwa wa Vladimir anayepigana kesho. Hapa alikuwa anamdunda Shannon Briggs. Vitali (alikuwa bondia mzuri kuliko Vladimir) yeye alishastaafu kitambo...
 
Sub ya nini ndugu? Hapa ni wewe na roho yako na ukizubaa unauliwa. Ni mojawapo ya michezo michache inayouanika unyama wa binadamu - kuwa binadamu ni mnyama tu japo amejipachika cheo cha Homo Sapiens! Ndiyo maana ameunda mpaka masilaha makali ya Nyuklia, masilaha ambayo yanaweza kuka-mute kasayari kake haka anakokategemea kasikalike tena. Sijui plan B ni nini....

Ni mfuasi mzuri wa Immanuel Kant na falsafa yake ya Existentialism. Huwa inanipa mwanya wa kuziona mbwembwe na unafiki wa binadamu ambaye kimsingi ni mnyama tu anayesubiri kufa - japo ana mategemeo ya kuokolewa kupitia dini zake mbalimbali...
mkuu naomba kama hutojali nielezee kidogo hili pambano,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom