shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Hahahaaaaaaa
Hahahaaaaaaa
Leta majamboTOP TEN
Km mnavyojua week end huanza Ijumaa basi ndio hivyo tunaenda kiburudani zaidi...full mujiachia
Basi leo tuone harusi maarufu zilizotikisa mwa kutumia pesa nyingi
Maskini hujifariji kwamba harusi ni harusi tu ....utamu ni uleule
Karibuni
.........
Poa kabisa, isake tu mkuuNipo sana mdau, naisaka wikend hapa. Vipi wewe
Ndio jina languEti!!'
hahahah jamaan
Hii kali
Sijawahi kuufungua huu uzi niusome unahusiana na nini, nimekuja kukuta unawachangiaji wengi sana na ni uzi sana nadhani kuliko mingine hapa JfHabari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku Bitoz shukrani kwake
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder
mukongo badala ya kujibu kaniulizaJibu la mukongo je
hahhaha mm sitakiLabda anachukulia mazoezi kwako
Ameen shemelaKiwatenganishe

Bibi harusi kavaa simple8/Liza Minelli & David BestIlifungwa mwaka 2002. Walihudhuria wageni 850 huku wakihudumiwa na wahudumu 500![]()
Ilihudhuriwa na watu mashuhuri kibao wakiwemo Michael Jackson na Elizabeth Taylor
.......