Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,516
- 40,625
Ninayo na sijawahi kuiangalia.....nina kama miaka miwili sijaangalia movie.....nikiweka dk. 10 nazima[emoji134]The Good, The Bad and The Ugly. Ipo katika maktaba yangu na ndiyo nimemaliza kuiangalia - The Best Western (Cowboys) movie ever. Na kwa kiasi fulani inaakisi hali halisi maishani na watu wanaotuzunguka mpaka hata viongozi wetu, na mengineyo. Some are good! Others are Bad...and some of them are just Ugly!!!![]()