Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Bakurutu vipi leo binamuNipo sana mdau, naisaka wikend hapa. Vipi wewe
Bakurutu vipi leo binamuNipo sana mdau, naisaka wikend hapa. Vipi wewe
Kwema mkuukwema humu ndani wadau?
walipendeza5/Aleksandra Kokotovic & Andrei Melnichenko![]()
Ilifungwa huko nchini Ufaransa mwaka 2005 ikiwa ni ndoa kati ya bilionea wa Kirusi na Miss Yugoslavia
Burudani iliongozwa na Christina Agueilera na Whitney Houston...ilihudhuriwa na mastaa tupu na kuteketeza mabilioni ya shilingi
.....
Pia wakongwe waliiga wakashindwaSijawahi kuufungua huu uzi niusome unahusiana na nini, nimekuja kukuta unawachangiaji wengi sana na ni uzi sana nadhani kuliko mingine hapa Jf
Hongera mwanzisha uzi
Mambo ya fwezawalipendeza
Ndo alivyopendaBibi harusi kavaa simple
Asante sana. Huku utajifunza mengi. Pia hakuna ubaguzi cha msingi ni heshima na upendo Kwa kila memba humu. Utafurahia huu Uzi.Sijawahi kuufungua huu uzi niusome unahusiana na nini, nimekuja kukuta unawachangiaji wengi sana na ni uzi sana nadhani kuliko mingine hapa Jf
Hongera mwanzisha uzi
Duh mihela yote hyo jamaa alishindwa kunyoa hata ndevu3/Vikram Chatwal & Priya Sachdev![]()
![]()
Hii ndoa ilimuhusisha mtoto wa Mfalme Sant Singh..ilifanyika huko Udaipur mwaka 2006
Ilihudhuriwa na mastaa kibao wakiwemo Bill Clinton na Naomi Campbell
Ilitumia zaidi ya USD 20 Milioni
.....
Style tuDuh mihela yote hyo jamaa alishindwa kunyoa hata ndevu

Yako na Lee ilikuwaje?walipendeza
Mkuu vipAsante sana. Huku utajifunza mengi. Pia hakuna ubaguzi cha ni heshima na upendo Kwa kila. Utafurahia huu Uzi.
Karibu sana
Pesa Zina mbwembwe sanaDuh mihela yote hyo jamaa alishindwa kunyoa hata ndevu
Ndugu yangu za siku nyingi?Pesa Zina mbwembwe sana
Noma sana mkuu, alafu mwangalie huyo demu shavuni make up ilivonoga utadhani jipu lililoiva.Pesa Zina mbwembwe sana
tulipendeza shemelaYako na Lee ilikuwaje?