Makapuku Forum

NUKUU YA LEO

Democracy is beautiful in theory: in practice it is fallacy

Demokrasia ni nzuri katika nadharia, katika vitendo ni Uongo


Haya maneno yaliwahi kutamkwa na mwandishi, mwanasiasa na waziri Mkuu wa 27 wa Italia Bw. Benito Andre mussolini aliezaliwa 29/07/1883 na kufariki 28/04/1945 kwa kupigwa risaasi kijijini Giulino de mezzegra akiwa na mkewe Clara Petacci.

Musollini alikuwa ni kiongozi wa Partio Nazionale Fascista; PNF , chama ambacho kiliweka demokrasia pembeni na kutekeleza sera za kidikteta zilizojulikana kama II Duce.

Mussolini amepigana vita kama vita vya 1 na vya 2 vya Dunia, Vita ya Italia-Ethiopia na Uvamizi wa Itali nchini Albania.

Kiufupi mussolini hakupenda demokrasia hata kidogo na hivyo hakupenda kuwa muongo

Alisema kile alichokiamini yeye..

Lakini katika uhalisia wa ukweli hakuna demokrasia ya kweli..hata wale wanaodai kuwa na demokrasia nchini mwao ni waongo manake kuna vitu vinafanyika havihitaji demokrasia..

Penda usipende kuna vitu vitafanywa na kikundi cha watu wachache bila maamuzi yako.



Kuna mengi kuhusu mussolini lakini nitaweka nyama baadaye..

Morning wakuu.
 
mornie T
asante kwa nukuu ya leo
 
1970 - Diego Simione anazaliwa.

Mchezaji wa zamani na kocha wa sasa wa Atletico Madrid na timunya taifa ya Argentina.

Moja ya wachezaji watukutu enzi anacheza soka na sasa akiwa mmoja kati ya makocha vijana wahamasishaji.

Ndio aliyemtia hasira Beckham World Cup 1998 hadi kufanya jambo la kijinga na julambwa umeme na Uingereza kutupwa nje japo Michael Owen alifunga goli zuri
Kaiongoza Atletico final mbili URFA na kupigwa zote
Msimu huu ana dalili pia ya kwenda fainali kusindikiza tu
......
 
Morning, Asante kwa kujazia nyama
 
Safari hii naona timu haichezi vizuri
 
Beckham alifanya ujinga sana, ila amshukuru Ericsson kwa kumrudisha kwenye mstari
 
Asante kwa nukuu mkuu T ubarikiwe,siku njema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…