Makapuku Forum

Makapuku Forum

BUNDESLIGA UPDATES
Thiago Alcantara kaongeza mkataba na bayern munich hivo kukata kidomo domo cha vyombo vya habari kwamba anarudi Barcelona

Kingsley Coman kasajiriwa rasmi na Bayern munich baada ya kuwa kwa mkopo akitokea juventus. kasainu mkataba wa miaka mitatu hadi 2020.
Bvb Asante kwa taarifa
 
5/Death Stalker Scorpion
6761c8910071e39e5f45d656a55b458b.jpg

Achana na Scorpion mtoboa macho wa Buguruni...huyu nge ni noma
Ukipigwa tu na mkia wake utapata maumivu makali hadi kuzimia au kutojitambua kabisa{coma) na kisha utakufa...
Wanapatikana Afrika Kaskazini na Asia mashabiki..
Sumu yake ni mara 200 ya "cobra wa kawaida"

Scorpion kick goal la Mkhitaryan ni kielelezo cha shughuli ya nge

.........
Basi hawa wa bongo hawana sumu kabisa
Maana niliumwa ila sikufa na sikupata tiba kwa muda stahiki na bado nikafanikiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom