eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Jimena usichezee hisia zangu mpenzi, nina hali mbaya
Jimena usichezee hisia zangu mpenzi, nina hali mbaya
Yupo shemeji yangu hana shida Patience123 na ameshasema yeye ndiyo mke halali abanduki hata kwa nini..Nnammis kiaina ujue
Naona yuko toka 2011 ila ajiangalie no dharau hapaHapana ni dada yetu mkongwe kanikaribisha JF...mengine yote ni ziada tuu Ed
Sasa we bibi tulia basiTatizo lenu nyie makapuku hamjiamini halafu hamjui historia vizuri ya chit chat
Sasa we bibi tulia basi
Basi watasubiri sana anguko letuAna uswahiba na hawa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..........
Isidingo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Makapuku filamu ya mapenzi na uchungaji fake imeishia hapa, tusubiri part 3![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Isidingo haitanogaImekua league now si uwe wazi tu
Sisi single boy tuna raha sana
Toa maoni mchungaji aboreshe nini jimena my loveIsidingo
Sasa inakuja episode 3
Hahahaa ndio maana mna kesi nyingi za kufumaniwa na wake za watuMrembo but kasi yangu haiwezi c wajua mm mchungaji kijana halafu..
Ungabu na Ngariba wametushindwa itakuwa huyuBasi watasubiri sana anguko letu
Kweli kabisa.The only couple ninayoielewa hapa KF ukiondoa ya kwangu
Mkuu hapa nilivaa uhusika lengo ni kuwasuta watumishi wenye nia mbili, hivyo toa maoni yako nin kiongezwe na nin ipungunguzwe kwenye episode 3,Hahahaa ndio maana mna kesi nyingi za kufumaniwa na wake za watu
Punguza mikwaraNaona unaanza kuchezea makende ya simba
Mi nakushauri tu muweke wazi wamjue tuTiyari nini![]()
![]()
![]()
![]()
Tusiharibiane CV please
Aisee mbona sielewi tena.Naona unaanza kuchezea makende ya simba
Amaizing sijui kama unaona hiliMtumish kwa jinsi ulivyobadili gia angani lazima tuwe karibu sana na Patience123 shemeji yangu tukimfariji na kumtia moyo..
We nawe usijesababisha nikaachika! Hivi huyu Patience123 yuko wapi jamani mpaka mume anaranda randa mitaaniToa maoni mchungaji aboreshe nini jimena my love
Ndio maana nilimwachaWe nawe usijesababisha nikaachika! Hivi huyu Patience123 yuko wapi jamani mpaka mume anaranda randa mitaani