EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Kuumwa kwako kichwa ni nini tatizo, au una mawazo yapi tena?sawa baby..Ntazingatia hilo
Kuumwa kwako kichwa ni nini tatizo, au una mawazo yapi tena?sawa baby..Ntazingatia hilo
Pole mpenzi, jitahidi kukabiliana na mazingira.kawaida hny..hili wingu ndo sababu cunajua nimezoea joto
mvua ndo chanzo hnyKuumwa kwako kichwa ni nini tatizo, au una mawazo yapi tena?
i need joto lakoPole mpenzi, jitahidi kukabiliana na mazingira.
Usijali baby, kila kitu kitaenda safi mda si mrefu.mvua ndo chanzo hny
Waoo... haya baby ntakuja nkupe joto langu hadi utamani baridi.i need joto lako
bas baadae hnyWaoo... haya baby ntakuja nkupe joto langu hadi utamani baridi.
Na ukongwe wakeBibi mwenyewe ashaukubali mziki wa MAKAPUKU FORUM.
Hatari sanaMakapuku mmetuleletea wakongwe vilio
Makapuku mmetuzidi mbio
Makapuku mnatisha km jambio
Wakongwe tupo hoi
Kapuku kweli ni City boy
Mmetufanya km houseboy
X 3![]()

Makapuku mmetuleletea wakongwe vilio
Makapuku mmetuzidi mbio
Makapuku mnatisha km jambio
Wakongwe tupo hoi
Kapuku kweli ni City boy
Mmetufanya km houseboy
X 3![]()
Soma post # 3Makapuku mpooo!! nimegundua humu kuna ma spy wengi tu, na wengine wakongwe wamo vepe ni watumbue hadharani
Honey, Loving you is like breathing-I can't stop...Thnx kwa uelewa wako...
Love you![]()
![]()
Toa neo shem usiishie kuguna tu....
Sawa mpenzi, ila usichelewe kurudi.bas baadae hny