Makapuku Forum

6/Kuhara
Kuhara kwa kawaida humshambulia mtu kwa siku 1 hadi 2...Gonjwa kuu la kuhara ni kipindupindu
Kuhara husababishwa na kunywa maji yasiyochemshwa,kula vyakula vichafu n.k
Ukiumwa kipindupindu ujue umelishwa kinyesi
Huua watu 2.5 Milioni kwa mwaka
......
 
Mtaasisi

Kwanini muziki wa sasa hauna ladha?
 
5/Vifo vitokanavyo na uzazi
Kuna usemi kwamba ujauzito ni nusu ugonjwa
Vifo vinavyoongelewa ni vya mama wajawazito pamoja na vya watoto wachanga wakati wa kujifungua
Huathiri zaidi nchi maskini kutokana huduma mbovu za afya
Kina mama nusu Milioni na watoto zaidi ya 2.5 Milioni hufariki
Jumla ni vifo 3+ Milioni
......
 
sad kwakweli
 
Historia nzuri sana hii mkuu Mussolin5
Kumbe JKN naye alikuwa ni dikteta aliye ficha makucha yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…