Asante mama mtumishiAsante kwa magazeti mkuu Shululu
Hongera sana kwa siku yako kubwa ya kumbukumbu ya kuzaliwa.
Namwomba Mungu akupe maisha marefu,hekima,furaha.
Akupe haja ya moyo wako
Ufanikiwe katika kila hatua ya maisha yako.
Mungu awe nawe daima .
UBARIKIWE
[emoji490] [emoji490] [emoji513] [emoji513] [emoji490] [emoji490] [emoji525] [emoji489] [emoji489] [emoji480]
Hahahaaaaaaa, kwenye kisiwa cha chumbe palipo na mnara wa kuongozea meri, cha ajabu alikuwa anapiga mbizi huku analia,mpaka anaokolewa analia tu, je kilichokuwa kinamliza ni nini?Haswaa
Yule jamaa alianza mapema kula mema ya muungano wazee wakaingilia.
Itakuwa kuna vitu alifanya sio bure mpaka mtoto aamue kujitosa afe kuliko kumkosa mtu wa bara.
Hivyo yule jamaa ana umuhimu sana kwenye harakati hii
Nimezipokea kwa moyo mkunjufu na mikono miwiliKwa wishes hii
Ushindwe wewe kupokea baraka kede kede
Mama mtumishi wewe ni shabbiki wa timu ganiNitaangalia
AmenAmen Amen good afternoon ubarikiwe sana[emoji120]
So sad and painful[emoji120]
AsanteKaribu kaka [emoji120]
Tulibhakafu utwakumwinuSalama kaka za uzima
AmeniHaleluyaaa
PoleeeWakuu leo sipo vizuri hivyo ngoja nilale mapema kabisa
Tukutane kesho
.........
Niko poa kiongozimzima, mambo vipi
mbona umeguna shemelaNiambie shemela wangu
Tununu kakaTulibhakafu utwakumwinu
Nawe pia keki wapiAlasili njema makapuku wote
Ndaga ubhalamkageTununu kaka
Keki ununio beachNawe pia keki wapi
Ena waneeeNdaga ubhalamkage
Karibu umsugu indi pabhutonga/kwa mwanjaliEna waneee
si ya mzunguMambo ya Mungu ,siyo ya mwanadamu[emoji120]