BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
TV zisingemuonesha aiseebasi bashite anatamani ndio angekua yeye anatangaza saiz
Asante mama mtumishi kwa neno zuriJINSI GANI KIJANA AISAFISHE NJIA YAKE?
[emoji524] ZABURI 119
9 Jinsi gani kijana aisafishe njia yake?kwa kutii akilifuata neno lako.
Usiniache nipotee mbali na maagizo yako.
10 Kwa moyo wangu wote nimekutafuta.Usiniache nipotee mbali na maagizo yako.
11 Moyoni mwako nimeliweka neno lako,Nisije nikakutenda dhambi.
12 Ee BWANA,umehimidiwa ,unifundishe njia zako,unifundishe amri zako.
[emoji523] Mungu wetu ni wa Upendo na hapendi tupotee,yupo tayari kutuongoza siku zote za maisha yetu na yupo tayari kusikiliza mahitaji yetu na mawazo yetu,hapendi tupotee wala kuishi maisha yasiyo na malengo na yasiyompendeza.
TUNAPASWA:
[emoji324] Kutii sauti yake.
[emoji324] Kufuata neno lake
[emoji324] Kumfuata kwa moyo wote
[emoji324] Kushika mafundisho ya amri zake
NAYE HATATUACHA TUPOTEE MBALI NA MAAGIZO YAKE
[emoji274] MIOYONI MWETU TULIWEKE NENO LA MUNGU TUSIJE TUKATENDA DHAMBI TUANGAMIE[emoji120]
Bwana Yesu wewe ni mkombozi wetu milele,Tunakushukuru wewe husinzii wala hulali na umetulinda mpaka asubuhi ya leo.
Fungua macho yetu tuweze kuona wema huu na upendo huu mkubwa na pia tufungue tuone baraka zote ulizotuandalia siku ya leo,kwa upendo wa marafiki wote mahali hapa watatufanya tujisikie vizuri.
Nakushukuru sana Mungu kwa nafasi hii ya kuhudumia marafiki na wapendwa wetu mahali hapa,nakuheshimu sana Mungu wangu.bila wewe hatuwezi chochote. ...nayaweza yote kupitia wewe Mungu unitiaye nguvu.
Tubariki siku ya leo safarini,ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wenye dhiki,nyoosha mkono wako katika mapito yote na utuongoze kukupenda ,kukutii,kulifuata neno lako na kukutafuta kwa bidii.
Asante Baba maana utatenda sawa na mapenzi yako
Tunaomba na kushukuru katika jina la Yesu Amen
MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
R.I.P Aboud Jumbe...Raisi JPM amemtaja sasa hv kuwa aliutunza muungano..na kusema Muungano ndio jembe letu,ushindi wetu..atakayejaribu kuuvunja Muungano ATAVUNJIKA YEYENdio maana akawa haonekani kwenye sherehe za muungano
Akapigika kwa maradhi huko kizuizini hadi kuamua kuandika wosia asizikwe kuserikali japo alikuwa Rais mstaafu alisingizia tu ucha mungu
Hakufunikwa hata na kavendera ka CCN
....
HBD Mellanie TrumpEnzi hizo alikuwa maarufu kwa kupiga picha za utupu
....
"NA YEYOTE ATAKAYEJARIBU KUVUNJA MUUNGANO ATAVUNJIKA YEYE,MIMI NA DR.SHEIN TUNAULINDA KWA NGUVU ZETU ZOTE"Nipo tayari hapa kumsikiliza sizonje leo atatoa dongo gani
anakuambia kuulinda muungano ni kazi ngumu sana, kuna wengine wameshindwa hata kuzilinda ndoa zao[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]"NA YEYOTE ATAKAYEJARIBU KUVUNJA MUUNGANO ATAVUNJIKA YEYE,MIMI NA DR.SHEIN TUNAULINDA KWA NGUVU ZETU ZOTE"
Ubarikiwe mkuu Mussolin5 kwa historia.LEO KATIKA HISTORIA:
Niwatakie siku njema.
HBD Jet Li1963 - Jet Li anazaliwa.
Staa wa filamu za mapigano kutoka China.
Morning Quigley ubarikiweMorning family
Mzima mkuushikamooo!
Ameni ubarikiweJINSI GANI KIJANA AISAFISHE NJIA YAKE?
[emoji524] ZABURI 119
9 Jinsi gani kijana aisafishe njia yake?kwa kutii akilifuata neno lako.
Usiniache nipotee mbali na maagizo yako.
10 Kwa moyo wangu wote nimekutafuta.Usiniache nipotee mbali na maagizo yako.
11 Moyoni mwako nimeliweka neno lako,Nisije nikakutenda dhambi.
12 Ee BWANA,umehimidiwa ,unifundishe njia zako,unifundishe amri zako.
[emoji523] Mungu wetu ni wa Upendo na hapendi tupotee,yupo tayari kutuongoza siku zote za maisha yetu na yupo tayari kusikiliza mahitaji yetu na mawazo yetu,hapendi tupotee wala kuishi maisha yasiyo na malengo na yasiyompendeza.
TUNAPASWA:
[emoji324] Kutii sauti yake.
[emoji324] Kufuata neno lake
[emoji324] Kumfuata kwa moyo wote
[emoji324] Kushika mafundisho ya amri zake
NAYE HATATUACHA TUPOTEE MBALI NA MAAGIZO YAKE
[emoji274] MIOYONI MWETU TULIWEKE NENO LA MUNGU TUSIJE TUKATENDA DHAMBI TUANGAMIE[emoji120]
Bwana Yesu wewe ni mkombozi wetu milele,Tunakushukuru wewe husinzii wala hulali na umetulinda mpaka asubuhi ya leo.
Fungua macho yetu tuweze kuona wema huu na upendo huu mkubwa na pia tufungue tuone baraka zote ulizotuandalia siku ya leo,kwa upendo wa marafiki wote mahali hapa watatufanya tujisikie vizuri.
Nakushukuru sana Mungu kwa nafasi hii ya kuhudumia marafiki na wapendwa wetu mahali hapa,nakuheshimu sana Mungu wangu.bila wewe hatuwezi chochote. ...nayaweza yote kupitia wewe Mungu unitiaye nguvu.
Tubariki siku ya leo safarini,ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wenye dhiki,nyoosha mkono wako katika mapito yote na utuongoze kukupenda ,kukutii,kulifuata neno lako na kukutafuta kwa bidii.
Asante Baba maana utatenda sawa na mapenzi yako
Tunaomba na kushukuru katika jina la Yesu Amen
MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
My morning was good, good after noon to youMorning Quigley ubarikiwe
Amen! mama mchungajiJINSI GANI KIJANA AISAFISHE NJIA YAKE?

takiiiiiii shika yakoshikamooo!
shukrani mama mchuchu ubarikiwe na wwJINSI GANI KIJANA AISAFISHE NJIA YAKE?

HBD Gestapo1933 - Gestapo yaanzishwa.
Lilikuwa ni jeshi la siri chini ya utawala wa Adolf Hitler.
HBD Atletico Madrid1903 - Klabu ya soka ya Atlerico Madrid yanzishwa.
RIPJohn Wilkes BoothLeo Katika Historia:
1865 - John Wilkes Booth anauwawa.
Alikuwa ni muuaji wa Rais Abraham Lincoln wa Marekani.