Hapana, mi nilimkataa mbona?? Nimemwambia labda ajaribu kuja na id mpya ndo atupe nyavu.si wewe hapo bana..Unamuomba abadil jina..am just trying..HOw does it sound wifi
hakika..Unaanza kuamini kuwa hakika inahitajika tufunge na tusali sana kwa ajili ya Mtumish yaan imekuwa vice versa sasa..
I am watching honey..Don't worry
Nyie ndo mnaompa kichwa, Hakuna cha limbwata wala nini aende tu kwa Patience123Shemeji yangu..Pole na kuumwa ila nashukuru kwani unaonyesha kila dalili kuwa sasa upo fit...Unajua Shem najiuliza jinsi mtumish jambilo alivyokuwa amesimama kiimani ni wapi hapo walianza peana limbwata na Jimena na si unaona Patience123 haonekani yaani yeye ni kufunga na kuomba tu..
Mnazingua,kama vipi tutaonana badae.10 Nyingi mno.
Mchukueni tu mi mbona wala sina haja nayemuhurumie basi..Kashaanza kuwehuka
Hahhahahaaaa hata kwa dada poa pia daily risiti
ndo nauliza kwan ukijakuitwa mama jambilo italeta ukakas ama?Hapana, mi nilimkataa mbona?? Nimemwambia labda ajaribu kuja na id mpya ndo atupe nyavu.
Ndotoumeona amekubali, sawa na mtu kusema ukiacha kuvaa shati hili ntakubali niwe wako, c nanunua lingine?
Huwa naamini kwenye ndoa kuna ups and down na ndoa yako na aggyjay ilikuwa down juzi kati na sasa imenyanyuka kwa kasi mno si rahis itikisike tena...Kwani nini kimkuta Shemji yangu youngblood na mrembo wake Nahrene ?youngblood anaiombea dua mbaya ndoa yangu na aggyjay, anasema haitochukua mda mrefu.
Hamna napita tu kwenda mbele huko
hili jibu la kikapuku ngoja nikajinywee casto mie usiku mwema
kwa mtogole nipo weweUsiku mwema tena mkuu? me nilidhani wewe ni kapuku kumbe unaishi ulaya? maana ulaya nasikia huku tukiwa na mwanga giza linakuwepo ulaya wallah! Ukirudi niletee kengele za baisikeli,huku zinatoka sana!
Jimena nakubaliana na wewe ila sisi wanaume huwa tuna amini kwamba mwanamke yeyote anayeonyesha ugumu mwanzon wakati unamwa-approach huyu ndiye atakuja kukukubalia mwishoni so na amini jambilo hajapoteza track saaana wacha tutaona mwisho..Nyie ndo mnaompa kichwa, Hakuna cha limbwata wala nini aende tu kwa Patience123
Kumbe we hukuanzia mwanzo. Jambilo ni wa Patience123 haijalishi anajitoa ufahamu kiasi gani kwangu namuhesabu kama baba Mchungaji na mume halali wa patience123 sasa kilichounganishwa na Manuu mtu na asijajiribu kukitenganisha ndomana namsisitiza kuwa hawezi kufanikiwando nauliza kwan ukijakuitwa mama jambilo italeta ukakas ama?
Nenda basi maana umeanza kuaga saa nyingi sanaWakuu tutaonana badae kidogo.
Nahrene akipita mwambieni bado nampenda no matter what!!!