Makapuku Forum

Bara la Afrika
Ni bara la pili kwa ukubwa lina maili za mraba 11.7 Milioni
Lina nchi zaidi ya 50...ndo bara la pili lenye watu wengi takribani zaidi ya bilioni 1
Ndio bara lenye joto zaidi duniani
Bara lenye watu mbumbumbu kuliko yote{kwa Tz ChifuMangungo ndo supastaa)
.......
 
Uislamu
Ndio dini yenye wafuasi wengi zaidi barani Afrika ikifuatiwa na Ukristo/ukatoliki
Uislamu umesambaa zaidi Afrika Kaskazini na Magharibi, Mashabiki unapatikana zaidi kwa Waarabu wa Somalia n.k huku Kusini Waislamu wakiwepo kwa idadi ndogo

cc FaizerFix
.........
 
Huo mkasa ndio "TINAUTAMANI" uulezee N'goshi
Siku najiandikisha hapa JF kila jina ninalolitaka kutumia naambiwa tyr linatumika, hivyo nikaamua kuchagua jina la kibabe nikakuta lipo available nikaanza kutumia.

Lakini halikuwa kipaumbele changu kabisa. Sasa baada ya kula " Life Ban " ndio nikaja na Mussolin5 baada ya Mussolini kufutwa mazima.
 
Pia ndio bara lenye utajiri mkubwa wa maliasili ila watu wake wengi ni mazuzu hivyo Wageni wanakuja kujichotea na kuondoka huku wazawa wakiwa hohehahe.
 
Thanks Mukulu.

kumbe we MTATA eeeh!!!.....life ban!!!
 
Lugha 2000
Inakadiriwa barani Afrika zinazungumzwa lugha takribani 2000...Lugha nyingi ni za kikabila/asili, ila lugha za kigeni hutumiwa zaidi km lugha za kiofisi
Kwa Tanzania makabila yote yameunganishwa kwa lugha moja yaani Kiswahili tunachotambia humu JF
Ndaga Kyala!!
.........
 
Tanzania, Congo (DRC) na Angola, utajili uliopo kwenye hizi nchi ni sawasawa na Bara zima la Ulaya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…