Makapuku Forum

1963 - David Moyes anazaliwa.

Kocha wa sasa wa Sunderland ambaye pia amewahi kufundisha katika vilabu vya Everton na Man Utd.
Ndo aliyemtengeneza Big Fella wakiwa Everton na kuhama naye kumleta Man Utd LVG akashindwa jinsi kumtumia na kutoka kumuuza
Ila sasa kawa kipenzi cha Mourinho hata avurunde kucheza ni lazima yaani km Bashite na Mkulu
......
 
Hivi hata babaye nae alikuwa ni mtu wa totoz?

Huyo ilikuwa ndo mambo zake si unajua akili za Kiafrika hasa mababu zetu
Mfano mimi babu yangu alikuwa na wake wanne na hata nikienda kijijini napishana na ndugu zangu bila kujua maana wapo wengi balaa
Sasa fikiria huyo ambaye ni Mfalme alikuwa anamilki wangapi
.........
 
Amen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…