Makapuku Forum

samahani mkuu naomba nikurekebishe kidogo kwenye hilo ziwa, hilo ziwa halipo juu ya mlima ila ukitaka kufika ni lazima upande milima kama miwili hivi, then ukifika juu ya mlima ndio unaliona kwa chini, ukitaka kufika ni lazima ushuke tena unakua kama unashuka mlima,

ni kama vile limezungukwa na mlima na hakuna njia ya kufika bila kupanda milima, lina ramani ya afrika na kamsitu katikati, usiombe uende kipindi cha mvua utajuuta, nishawahi fika huko
 
Yah ni kweli mkuu, ndio maana wakiwekwa na timu zingine toka ligi tofauti hawafiki popote
Hapana,kumbuka EPL hawapumziki, pia timu za EPL zinauwezo wa kusajili na kulipa mishahara wachezaji, kwa sababu ya gawio la EPL la haki ya matangazo, timu nyingi sana zinawekeza EPL zaidi sababu ya kipato, kitu ambacho Spain, German na Italian hakipo
 
Asante kwa madini
 
Upo sahihi mkuu
Tena kulifikia ni shughuli
Shukrani
..........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…